ni kweli kabisa
BAK lakin tunaweza kufanya synthesis ya plastic wares kutoka kwenye vitu tofauti zaid ya mipira tunayoitegemea. Istoshe kwa maisha ya kijijini mtungi ni delicate hasa wakati wa kutreat majia kwani hauwez kuwa na life span kubwa na pia gharama yake ni kubwa sana ili tuweze kuprocess uweze kukidhi haja.
Sasa hivi tunafikiri kutumia nyenzo ta TATEDO ambao wao wanatengeneza mitungi mkubwa sana kwenye majiko kwa ajili ya kuchemsha maji but tunataka wautengeneze the same design ila tuuekee koki na filter ili maji yaweke na dumu kama kwenye water cooler membrane ichuje mtu akinge kupitia koki. may be hii inaweza kuwork out.