Akili Sina
JF-Expert Member
- Jan 18, 2018
- 303
- 2,250
- Thread starter
-
- #41
Yaan mkuu nataman hata niliweke bond tu, nikipata hela nimrudishie nichkue fridge langu, maana hata kwa sasa hulipati kwa 1.2MDah ziri sana asee ila kwa wenye mpunga wanunue tu linafaa sana hili Mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Karibu mkuu ujipatieDah ziri sana asee ila kwa wenye mpunga wanunue tu linafaa sana hili Mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Likipungua mpk nne ipo cash usininyime kila la kheri
Usitoe warranty kubwa kwa Hilo dude utakuja kujuta, vitu vya umeme havinaga garantiiYaan mkuu nataman hata niliweke bond tu, nikipata hela nimrudishie nichkue fridge langu, maana hata kwa sasa hulipati kwa 1.2M
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwan warranty natoa Mimi, warranty wametoa wwnyewe LG na wameandika miaka 10, si mimiUsitoe warranty kubwa kwa Hilo dude utakuja kujuta, vitu vya umeme havinaga garantii
La kwangu pia ni kama Hilo lako, na lilipata hitilafu likiwa jipya kabisa, LG Wakanibadilishia, wewe una bahati halijasumbua naona unajiingiza mkenge kwa kutoa warranty ya third party
Ni vile tu Sina pesa ila bei yako ni reasonable Sana na kweli umeshikika
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali, subiri tu litapungua hadi 100kLikipungua mpk nne ipo cash usininyime kila la kheri
Kila la kher
Mkuu tupia picha zake halisi tuone!Pia kuna Home theatre , Sony bei 700,000 tu
Note : Nauza kimojawapo tu.
Either fridge or Home theatre, siuz vyote View attachment 1320656
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika zipo 4 ndefu na ndogo mboja (ya center).
Ok sawa mukulu. Nakutakia kila lenye kheri upate wateja. Na kutokana na sababu uliyoitoa basi Friji hii ni Konki kabisa.
Nlipolinunua nilushalipia TRA kwaiyo haina haja tenakatika hii biashara yako,mgao wa TRA ni kiasi gani kama ambavyo sheria ya kodi ya mwaka 2004 ilivyoelekeza?
Hapo suluhisho ni dogo, wakati wa kuandikishana anaitwa fundi ambaye analikagua na kuandika taarifa muhimu kuhusu ukaguzi wake na ukaguzi inafanyika pande zote mbili zikiwepo. Endapo litatokea tatizo fundi ataitwa, ukubwa wa tatizo utaangaliwa na kama ni tatizo ambalo pengine limesababishwa na mnunuaji ambalo awali yalikuwepo basi muuzaji ndie atakae wajibika.
Usitoe warranty kubwa kwa Hilo dude utakuja kujuta, vitu vya umeme havinaga garantii
La kwangu pia ni kama Hilo lako, na lilipata hitilafu likiwa jipya kabisa, LG Wakanibadilishia, wewe una bahati halijasumbua naona unajiingiza mkenge kwa kutoa warranty ya third party
Ni vile tu Sina pesa ila bei yako ni reasonable Sana na kweli umeshikika
Sent using Jamii Forums mobile app