Friji inauzwa

Hiyo fridge hata kwa matumizi ya choosing haifai ,kama ni chafu namna hiyo itakosa chawa kweli,ww utakuwa NA hali gani kiafya au VIROBA
 
Mkuu itoe hiyo picha alafu lioshe kwakutumia jk then pigs picha tena uiweke.
 
Hahahaaa huoni aibu kuuza fridge chafu hivyo . Huko kwenu hakuna Maji hata ulioshe kwanza . Maajabu haya
 
Friji ipo pande mbili,upande wa freezer mzima,upande wa friji wa kutengeneza,bei 140,000 zote mbili alie serious ani pm...frij ipo mbez mwisho..
Ni kwa ajili ya scraper mkuu au tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…