Friji inauzwa

Halafu inaonekana umelitelekeza nje muda mrefu sana.ndani haliwezi kukaa kwa hali hii.
 
Nimefunga nikafikiri nikaona kama nimeingia chooni tena cha stendi kabisa. Je binadamu anaweza kuwa mchafu kiasi hiki? Wanaume wakati wa kuoa sifa ya kwanza kwa mkeo iwe ni ufasi tu!!!! Ila pia kwa wanaume usafi ni kipimo chako cha kujitambua. Nimesikia kinyaa/ Sakafu au mahali ilipo friji nimechoka kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom