Friji american style

Joined
Aug 6, 2014
Posts
26
Reaction score
35
Friji ipo kwenye hali nzuri muonekano mpya haijachezewa sehemu yeyote. Lina milango miwili american doors na freezer -drow mbili kwa chini..Nauza kwasababu nataka kuhama..hivyo napunguza vitu .BEI ni 450,000/=
0753532462. WhatsApp pia ni namba hiyo hiyo...


Sent using Jamii Forums mobile app
Mawasiliano..
0753532462
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…