Unaweza ukatuelezea in details what's going on overthere
Huwa inakuaje humo ndani ya hii kitu? Wengine washamba ati
Tukio hili hufanyika mara moja kila mwezi.
Ni tukio linalo fanyika siku ya Ijumaa moja wapi katika mwezi husika.
Kinacho endelea huku ni kukutanisha marafiki (watu tofauti lets say) ambapo
kila anae fika anapata nafasi ya kukaa na wengine na lazima utapata nafasi ya
kuongea (Kuwa Exposed) na hivyo utafahamika wewe ni nani,unafanya nini,unataka fanya nini.
Kwa kujulikana taarifa hizo,utaweza unganishwa na watu kama wewe,say wewe ni Lawyer,Mtangazaji,
comedian,Bloger,Mjasiliamali,...utakutana na watu wanao fanya vitu kama vyako na hivyo kuongeza
Exposure na network ili baada ya hapo usiwe peke yako tena katika unacho fanya,bali una marafiki
wanao weza kukushauri (KIRAFIKI KWELI KWELI) juu ya kile mnacho fanya.
Men,wengi wame badilika mitazamo yao walipo kuja huku,ukionja hautataka kukosa hata mara moja,
ni kama una jiunga na familia mpya na inakua familia ya kudumu.
kunakua na burudani pia,mtacheza hapo,mtakula pia,stori kwa sana,comedies sana,testimonies vile vile
za nini ume gain toka umekua moja ya marafiki wakutanao Ijumaa. (Not limited after the first meating though).
Hainaga ubaguzi hii,anyone comes in.
moja kati ya vernue za mwaka jana..
karibu sana,...