Friends for benefit..,


mwisho wake ni mmoja wenu kuumia moyoni. just make sure it arent you.
 
Mkuu it works.....ishu hapa ni kwamba mnakua hamuonani mara kwa mara....otherwise mtamu generate feelings.......
 
"...Real education enhances the dignity of a human being and increases his or her self-respect. If only the real sense of education could be realized by each individual and carried forward in every field of human activity, the world will be so much a better place to live in..."
 
Hahaaaaaaa
 
I am of that kind no strings,no attachment,no stress.Niko kwenye mahusiano na mtu wa hivyo ata simu boyfriend wake ikipigwa kiroho safi tu anapokea mbele yangu siumii atakidogo that how cold i am.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…