E Eng kihonza Member Joined Mar 3, 2016 Posts 41 Reaction score 13 Oct 31, 2016 #1 Habari wadau, samahani kwa yeyote anaejua upatikanaji wa fridge ya cocacola au pepsi anisaidie nmefungua biashara lakin nashindwa kufanya biashara kwa wiredi kwa sabaubu ya FRIDGE. AKSANTE
Habari wadau, samahani kwa yeyote anaejua upatikanaji wa fridge ya cocacola au pepsi anisaidie nmefungua biashara lakin nashindwa kufanya biashara kwa wiredi kwa sabaubu ya FRIDGE. AKSANTE
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 281 Oct 31, 2016 #2 kigezo kikubwa uwe na kret tupu 5 kwa kila friji alafu utawapa elf 30 kwa kila friji. lakn hyo ni kwa mbeya sijuh mikoa mingine
kigezo kikubwa uwe na kret tupu 5 kwa kila friji alafu utawapa elf 30 kwa kila friji. lakn hyo ni kwa mbeya sijuh mikoa mingine
Erickjr JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 994 Reaction score 789 Oct 31, 2016 #3 Wanatoa Bure Ila Kwa Mashart Ya Kununua Kiasi Flan Cha Kreti Za Soda.
E Eng kihonza Member Joined Mar 3, 2016 Posts 41 Reaction score 13 Nov 2, 2016 Thread starter #4 Erickjr said: Wanatoa Bure Ila Kwa Mashart Ya Kununua Kiasi Flan Cha Kreti Za Soda. Click to expand... nashukuru kiongozi unaweza nisaidia procedure zao. yaan pakuanzia mpaka napata
Erickjr said: Wanatoa Bure Ila Kwa Mashart Ya Kununua Kiasi Flan Cha Kreti Za Soda. Click to expand... nashukuru kiongozi unaweza nisaidia procedure zao. yaan pakuanzia mpaka napata