Fridge ya cocacola au pepsi inahitajika

Fridge ya cocacola au pepsi inahitajika

Eng kihonza

Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
41
Reaction score
13
Habari wadau, samahani kwa yeyote anaejua upatikanaji wa fridge ya cocacola au pepsi anisaidie nmefungua biashara lakin nashindwa kufanya biashara kwa wiredi kwa sabaubu ya FRIDGE.
AKSANTE
 
kigezo kikubwa uwe na kret tupu 5 kwa kila friji alafu utawapa elf 30 kwa kila friji. lakn hyo ni kwa mbeya sijuh mikoa mingine
 
Wanatoa Bure Ila Kwa Mashart Ya Kununua Kiasi Flan Cha Kreti Za Soda.
 
Back
Top Bottom