fridge&refrigation na tv,dish instalation fani ipi iko juu/inalipa?

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Kufuatia hali ya uchumi kua ngumu ninampango wa kubadilisha fani niliyo nayo,. Kwa ufupi ninafani ya hotel,,ninaumri wa miaka 38,nataka kubadilisha fani,,nimeziangalia hizo mbili yaani kufanya setting za tv,(ukiangalia mambo ya vin'gamuzi na madish) . Uande wa pili viyoyozi na majokofu upi unalipa?yote unaweza chukua course ya miezi mitatu na ukawafundi,, pls naomba ushauri
 
Nenda kwenye viyoyozi na majokofu mkuu madish kwa sasa hakuna kitu digital imehua bihashara . Chuo gani hicho cha kozi ya miezi 3 ?
 
Kaka ni miezii 6 ,,.ni pale ymca posta,,nipe faida zake mkuu
 
kwa nini usifungue mgahawa wa chakula?

Yaani at 38 bado ukasomee fani mpya lini utapata experiece na kujenga network ya wateja?

Afu hizo fani unazozisema labda usome zote na ufanyie kazi zote.

Mie sijasoma umeme lakini pasi, tv, jiko sipelekeki kwa fundi.

Kuacha kazi yako ya sasa na kwenda soma hizo fani ni sawa na kutoka mwanza kwenda mtwara kusomea ufundi saa.

Pole kama ntakugusa.
 
Back
Top Bottom