Fridge mtumba

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
266
wakuu nilikua nimejikusanya kusanya nikapata km lakin nne hivi,sasa nataka ninunue fridge ya mtumba kubwa,lakini bahati mbaya sina utaalam sana na mambo ya electronics,sijui fridge zipi ni nzuri au mbaya hata ikiwa mtumba,nilienda kwenye maduka ya mitumba nikakuta brand tofauti tofauti na bei ina range laki nne hadi laki nne na sitini.Sikununua nikaamua kuacha,lakini natamani ninunue fridge kubwa na nzuri ya kuweza kutumia kwa muda mrefu,si mnajua maisha yetu haya ya kulenga kwa manati? naomba ushauri wadau ni fridge gani ni nzuri na specification zake pia
Asanten
 

kuna mtu hapa unaweza kuwasiliana naye na pengine ukapata kwa bei nzur zaid 0759043019 au 0712550635
 


Fridge nazojua Ni nzuri..
Super general
LG
Westpoint
Hitachi
Hisense
Na zinginezo Ila sijui kama zote zinapatikana kama mtumba..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…