sasa na hilo bandiko si ungeliweka huko huko watsap mkuu?Wakuu, any serious buyer naomba anitafute what's up namba 0687332088 nimtumie picha maana kuapload picha hapa imeniwia ngumu sana. poleni kwa usumbufu!
MkuuKwa kukusaidia tu, the upper part hapo ni freezer ina uwezo wa kugandisha na hiyo lower part ni sehemu yenye ubaridi wa kawaida..karibu.
Umelitumia muda gani na nikichukua unanipa warranty ya muda gani? Risit pia si unazo kwa ajili ya kuchek tareh uliyonunulia. Mwisho unapatikana sehem gani?Kwa kukusaidia tu, the upper part hapo ni freezer ina uwezo wa kugandisha na hiyo lower part ni sehemu yenye ubaridi wa kawaida..karibu.