Linatumia v ndogo, 220Fafanua kwenye kutumia umeme mdogo
Linajizima kila linaposense kuna ubaridi wa kutoshaFafanua kwenye kutumia umeme mdogo
duh, Kidatu yenyewe inatoa 204 MWLinatumia MW ndogo, 220
🙄duh, Kidatu yenyewe inatoa 204 MW
Alikuwa anajaribu kukurekebisha MW si mchezo😂
Lesson learntAlikuwa anajaribu kukurekebisha MW si mchezo😂
Hii ni mini fridge. Net weight kil0 20 ni sawa na ndoo ya maji.Fridge lina sehemu ya kugandishia.
Fridge ni la mlango mmoja.
Linatumia umeme mdogo.
Fridge ni jipya. Halijatumika tangu linunuliwe.
Price: 330,000
Location: Dar es Salaam
Contacts: 0682507838/ PM
View attachment 2044598
View attachment 2044602View attachment 2044603
Point yako ni nini hapo chief?Hii ni mini fridge. Net weight kil0 20 ni sawa na ndoo ya maji.
ndogo si kubwa kama fridge yenyewe ambayo ingekuwa kwa price hyoPoint yako ni nini hapo chief?
Fridge kubwa la Kuanzia 330K ni la mtumba au used. Hili siyo mtumba.ndogo si kubwa kama fridge yenyewe ambayo ingekuwa kwa price hyo
Hii ni mini fridgePoint yako ni nini hapo chief?
Ndiyo ni sahihi. Si unaona hata picha zinaonyesha.Hii ni mini fridge