Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,167
- 157,134
thanks. Nilikuwa sijapata ile ya kusikiliza online.
Unasikiliza sasa hivi? Mie tangu jana sijabadili. Jamaa wanazipangilia vizuri kweli.
thanks. Nilikuwa sijapata ile ya kusikiliza online.
WiFi pls sitaki uchokozi. Because I am damn sure what you are going to say!
Wamenipigia Collie Buddz Watchy Watchy, Fireee
Collie Buddz - Too Watchy, Watchy - Bomboflow Riddim - kuMie420 - 2011 - YouTube
hahahaaa. Phew nilidhani utaanza kwa kunialika nipate puff.
I wish too uni uploadiye nipate utamu.
sitoki ng'o! Sijiamini naweza kujikuta nakumbushia mambo flani na wakati nimeshaitwa mama.
mimi iko jiji ii ii darisalama
aaah, kumbe ndo umeniambukiza! Yaani sina nchecheto na friday night fever kabisaa leo! Pole best, usigonjeke na sikukuu. Tafadhali niwekee na stir it up tujishereheshe mumu humu. That is, kama una mobile compatible version plz.hahahahahah lol! iko gonjwa leo
BCC: King'asti