Wakuu naomba mnisaidie chanel na frequency zake zinazopatikana kwenye ku band. Nina ungo ft 6 na receiva ya mediacom,fund kafanikisha kufunga chanel za cband lkn za ku bado hajawa mzoefu sana. Nipo kijijn mafund ndo hao wa kubahatisha.
inategemea unataka zipi. Kama unataka kbc, k24 na za uelekeo huo, ku inabidi ikae kwa mbele ininginie. Kama unataka emmanuel tv na wanaijeria, ku itabidi uifunge kwa nyuma ya lnb. Tukija kwa frequence na symbol rates wacha nikuwekee link
inategemea unataka zipi. Kama unataka kbc, k24 na za uelekeo huo, ku inabidi ikae kwa mbele ininginie. Kama unataka emmanuel tv na wanaijeria, ku itabidi uifunge kwa nyuma ya lnb. Tukija kwa frequence na symbol rates wacha nikuwekee link.. .