Frequencies za Chanel za TV za Tanzania

Frequencies za Chanel za TV za Tanzania

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
218
Reaction score
77
Habari wanaJF

Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC, Chanel Ten, StarTV na pia za kenya kama K24 na KBC anipatie ili niziweke.
 
Itv,eatv Capital 03642H08545 ch10 04065v02848 Startv03884V04900 Tbc0391V0445
 
ubarikiwe bosi

hapo kwenye horizontal ikigoma weka vertical and vise versa because ina depend kibao cha kwene lnb kimewekwaje..
zote hizo kaziweke kwne , Intelsat 906, Position: 64.2°E, kuna ya mozambique na tim vile vile..Frequency: 3654 R, (C band), 5632 3/4.
TIM, Eutelsat 10A, Position: 10.0°E ... Yaani
3654 h 5632.
 
Chanel za ipp media signal ziko chini sana zinaoneka ila kama cd yenye mikwaluzo, sasa kuna shida gani wakuu.
 
Nilipata taarifa ambazo si rasmi kuwa wanataka watu wanunue king'muzi chao cha Digitec ndio maana wakashusha signal.
 
Hizi fr zozote waweza zipata ingia kwenye google andika lyngsat itakuletea mabara mbalimbali ingia europe/afrika hapa utakuta chati yenye satelite zote utaangalia station nyingi tu zinazo beam Tanzania
 
Jamani msaada wa frequency za ting na Digtech
 
Habari wanaJF

Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC, Chanel Ten, StarTV na pia za kenya kama K24 na KBC anipatie ili niziweke.
Tafuta site iitwayo lyngsat.com
 
Back
Top Bottom