kinako New Member Joined May 4, 2013 Posts 3 Reaction score 0 May 5, 2013 #1 mbona kwangu chanel za kenya zina zingua au wamebadlisha? naomba msaada
N nictbb Senior Member Joined May 18, 2012 Posts 119 Reaction score 9 May 6, 2013 #2 kaka pole sana,ninachofaham mimi,channels za kenya waweza kuzipata vizuri katika intelsat 72 @ 72'E,ila kaka yakubidi upate receiver ya mpeg4,ya mpeg2 haziwezi kubali,ngoja pia tusubiri wataala mengine kaka
kaka pole sana,ninachofaham mimi,channels za kenya waweza kuzipata vizuri katika intelsat 72 @ 72'E,ila kaka yakubidi upate receiver ya mpeg4,ya mpeg2 haziwezi kubali,ngoja pia tusubiri wataala mengine kaka
kinako New Member Joined May 4, 2013 Posts 3 Reaction score 0 May 7, 2013 Thread starter #3 receive yangu ni storg 4663 mpg4