Mpenzi wa kikeCheriè mean
D'accordOk amico
Je vais bien 🙂Bonjour
Comment allez vous
Kwenye utalii ukiwa french guide hufi njaa mjini maana wafaransa wanasafiri sanaHivi Kifaransa ukijua utakitumia wapi? Au ndo mpaka uende Ufaransa maana naona ni lugha famous sana ila sielewi umuhimu wake ni nini. Na hakuna biashara nyingi ambazo Tanzania tunafanya na Ufaransa
Mtu anieleweshe
Tu es où amiJe vais bien 🙂
Hauna exposure, lugha yoyote ni muhimu sana. SafiriHivi Kifaransa ukijua utakitumia wapi? Au ndo mpaka uende Ufaransa maana naona ni lugha famous sana ila sielewi umuhimu wake ni nini. Na hakuna biashara nyingi ambazo Tanzania tunafanya na Ufaransa
Mtu anieleweshe
Wapi naweza kujifunza Kifaransa kwa Dar tofauti na Alliance Francais?Mambo vp wadau
Umekuwa ukitamani kujua/kujifunza lugha ya kifaransa? Karibu tuwe pamoja kwenye hii thread uweze kujifunza maneno mbalimbali ya lugha ya kifaransa.
Uliza swali lolote au neno lolote la kifaransa nami nitakujibu na kukufundisha.
Karibu tujifunze pamoja
Kwa dar sijajua mkuu. Mi niko arushaWapi naweza kujifunza Kifaransa kwa Dar tofauti na Alliance Francais?
sawa mkuu nadhani unamaanisha:Tu es où ami
Hapana nimemaanisha uko wapi rafikisawa mkuu nadhani unamaanisha:
tu-you es-are ou-my ami-friend
anhaa dah nimeenda chaka 😀Hapana nimemaanisha uko wapi rafiki
Kidogo lakinianhaa dah nimeenda chaka 😀