Fremu zinapangishwa Mwenge

Fremu zinapangishwa Mwenge

Mameto

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
31
Reaction score
10
Frem zinapangishwa mwenge kwa sh laki mbili kwa mwezi .kwa anaehitaji anipm.
 
Pale ilipokuwa stend karibu kabisa na maduka ya vipodozi
 
Bei ya mwenge kabla ya kuhama ni 200k?????? i don't buy this otherwise i'll keep my receipt.
 
Frem zinapangishwa mwenge kwa sh laki mbili kwa mwezi .kwa anaehitaji anipm.

Mwenge ipi fremu laki mbili?au unamaanisha mwenge mlalakuwa kujana?mwenge frem ni milioni na kuendelea usidanganye umma
 
Mwenge ipi fremu laki mbili?au unamaanisha mwenge mlalakuwa kujana?mwenge frem ni milioni na kuendelea usidanganye umma

Naona watu hamuamini ila huo ndio ukweli na nina frem yangu pale nalipa hiyo hiyo laki mbili kwa mwenzi.
 
Naona watu hamuamini ila huo ndio ukweli na nina frem yangu pale nalipa hiyo hiyo laki mbili kwa mwenzi.

Hiyo itakuwa sio frem ni banda kijana
Mimi ninazo frem tatu mwenge sijawahi kusikia kodi hiyo inayotaja
Maduka ya vipidozi pale mwenge mwenye jengo namjuwa na wenye maduka ya nawajuwa pia hamna mtu analipa kodi hiyo
 
Kwa anaehitaji kuiona na kuonana na mwenyewe apige +255718865033
 
Weka picha mahali ilipo.....
Maana maswali yaliyozuka yanahitaji ushahidi dhaahiri ili ajaye kupanga kupitia JAMIIFORUMS isionekane ametapeliwa..... na pia apewe ushauri murua......hapo tutakuwa tumeifanya JF the best online marketing with people to trust!..... JF IS NOT "NIGERIA LIKE" WEB CON MEN SITE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom