Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Wadau habari za week end? Nipo dar natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery bajeti isizidi laki 1 kwa mwezi, napenda maeneo ya Kinondoni, Kijitonyama, Sinza na maeneo ya karibu na sehemu hizo.
Mwenye kuwa nayo au alosikia tafadhali naomba ushirikiano wenu.
Cheers
Mwenye kuwa nayo au alosikia tafadhali naomba ushirikiano wenu.
Cheers