Tezzah Finest
Member
- Jun 15, 2019
- 9
- 2
Za sahiz wadau,naomba kuuliza kwamba fremu ya biashara mwenge naweza kupata kwa gharama gan kwa kila mwezi?
Zipo kibao sasaivi zinatafuta wapangajiZa sahiz wadau,naomba kuuliza kwamba fremu ya biashara mwenge naweza kupata kwa gharama gan kwa kila mwezi?
Shukran sana,vp nikijaribu biashara ya vinywaji(soft drinks)Kuna ndugu yangu alikua na frame hapo, hizi frame mpya,alifungua saloon ya kike ,alikua analipa laki 5 per month, ila kuna mzunguko mzuri Wa biashara. But sijui Kwa sahivi huenda imepungua kiasi
Jaribu kufika hapo uulizie
Zipo kibao sasaivi zinatafuta wapangaji
Shukran sana,vp biashara ya vinywaji?mwenge hela ipo ujue tu kuweka biashara inayohitajika...na ujue kujiongeza..Frem ni 500k kwenda mbele huko
vinywaji ukimaanisha Juice soda na maji?Shukran sana,vp biashara ya vinywaji?
mwenge hela ipo ujue tu kuweka biashara inayohitajika...na ujue kujiongeza..Frem ni 500k kwenda mbele huko
Nataka nifanye overall yaan jumla na rejarejavinywaji ukimaanisha Juice soda na maji?
Unataka ufanye kwa jumla au reja reja kuwauzia wapitaji?
Andaa vijana wa kusambaza vinywaji kwa wateja wako wa jumla...waokoleee gharama ya usafiri (utapiga hela maana wote watakuja kwako)Nataka nifanye overall yaan jumla na rejareja
Shukran mkuuAndaa vijana wa kusambaza vinywaji kwa wateja wako wa jumla...waokoleee gharama ya usafiri (utapiga hela maana wote watakuja kwako)
Reja reja Utapiga pia sana hela kulingana na wapi upo ofisi yako imekaaje...
Hapo kwenye jumla komaa napo pana hela zaidi kama ukipata vijana sharp
Xaxa xina mpamgxo wa kufungua bizness ya soft drinks.Shukuran xana,nilikuwa nina mpango wa kufungua biashara ya vinywaji hapo(soft drinks)