Fremu ya biashara iliyoko Mbeya Karibu na uwanja wa sokoine nyuma ya TRA inauzwa kuanzia milioni7 (bei inapungua).Fremu ni nzuri na kubwa unayoweza kufanyia biashara yoyote,ina grill kubwa ya kufungia ndani imejengwa kwa marumaru na ina umeme na iko ukingoni mwa barabara zinapopita daradara kwenye soko jipya la sokoine.Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0764-617964,0713-563128.