Kodi kwa mwezi ni Tsh ngapi Arifu?
Umelipa Kodi ya muda gani unayohitaji refund yake?
Weka mawasiliano Bana, PM ni kwa ajili ya kutongozana siyo Biashara..
Sasa unajichanganya,kwenye post yako ya wali umesema mwenyenayo amehamia mkoani kikazi.
nimepokuuliza hapo juu sasa hivi unajibu wewe ndio mwenye frame na unahamia mkoani.
Hapo vipi mkuu,
Dahh naitamani but maelezo chaka mi napenda mtu strict to the point iko ivi nilikua nafanya bsnss hii na nahama kwa sababu hii na eti c kwenda mkoani kumbe umefukuswa na mizimu au majambazi ongea ukweli nije kuchukus sasa hivi