Mambo ya marketing kwetu waTanzania yanatupa shida sana, wewe unataka wakupigie simu tu ndo useme uko upande gani wa Tanzania,kwa nini usiseme kuwa upo Katavi au Tandahimba ili uwarahisishie watu wasimalize hela zao kukupigia simu? Unapotangaza biashara make sure kila kitu kinakuwa wazi usiwe kama unatangaza biashara za magendo