Frem za milango na milango ya mininga kwa bei poa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Frem za milango na milango ya mininga kwa bei poa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jmura, Jun 1, 2012.

 1. j

  jmura Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Frem za milango na milango ya mininga zinapatikana kwa bei poa. Piga simu namba 0686469903 zipo poa sana na utafurahia thamani ya pesa yako
   
 2. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  taja bei
   
 3. s

  sithole JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu taja bei weka na picha kabisa ikiwezekana
   
 4. chaUkucha

  chaUkucha JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,223
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  me ninazo frem za aluminium na vioo vyake kwa bei poa
   
 5. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Taja bei bwana wengine hatuna hela kwenye simu
   
 6. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa wenye biashara za wooga huwa wananishangaza sana
   
 7. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu display vitu hapa watu waone taja na bei kabisa, biashara ni matangazo.
  Ukifanya biashara kwa woga hivyo unatutisha kama kweli hiyo biashara ni ya kwako au kama hiyo milango ina ubora unaotakiwa.
   
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mambo ya marketing kwetu waTanzania yanatupa shida sana, wewe unataka wakupigie simu tu ndo useme uko upande gani wa Tanzania,kwa nini usiseme kuwa upo Katavi au Tandahimba ili uwarahisishie watu wasimalize hela zao kukupigia simu? Unapotangaza biashara make sure kila kitu kinakuwa wazi usiwe kama unatangaza biashara za magendo
   
 9. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Lazima awe mwoga kwasababu anajua yezakuwa hazina viwango au hana jicho la kujua quality anajaribu kuraise interest za watu tu
   
 10. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2014
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  natafuta frem za milango, mtoa mada hebu tutajie bei ili tuone kama tunaweza kufanya biashara
   
Loading...