Frem za biashara na ofisi zinapangishwa

Frem za biashara na ofisi zinapangishwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Frem kwa ajili ya biashara na ofisi zinapangiswa,ziko katika jengo la ghorofa mbili lililoko vingunguti kiembe mbuzi karibu na kituo cha vingunguti cha nyerere road,zipo katika hali nzuri na ni mpya
kodi ni 200000 kwa mwezi,kodi ya miezi 6 inapokelewa
mawasiliano zaidi piga
0714358610
 
Back
Top Bottom