Freezer zinazohitaji matengenezo zauzwa

Freezer zinazohitaji matengenezo zauzwa

Tamutamusana

Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
46
Reaction score
39
Ziko mbili
Chanika dsm
Zote tshs 150, 000 tu
Sijazitumia kwa mda mrefu
Zinahitaji marekebisho. Compressor zake ni nzima kabisa

Anaehitaji ani PM
 
IMG_20171122_085505.jpg
IMG_20171122_085512.jpg
IMG_20171122_085512.jpg
IMG_20171122_085556.jpg
 
Mi sinunui, ila nitakupa laki tatu yote bure kama kweli wewe ni tamu tamu sana. Njoo nionje tafadhali. Changamka
 
Du! Kama kweli umedhamilia kuuza mtafute fundi mafriji/friza aje ayaone halafu mkubaliane kununua kama yalivyo au umuuzie vipuri.
Mtu wa kawaida ni vigumu kununua, kwa kweli yanatishia usalama wa pesa ya mnunuzi.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom