Haya haya haya,vijana naona mnatema mistari,mimi huku nishawekwa mtu kati,Rejao keshanitaiti,cha asubuhi nampatia,hataniachia mpaka akicheua,yo yo yo yo yo,nyoosha mikono juu km unafagilia ndoa yetu.hahahaha!kumbe natisha kwa frii stail lol!
Hahahahahaaa kweli hiyo ni free style. Halafu ujumbe unaendana na wanavyopenda kujishika maeneo ya ndoa
Ukimwona nani basi tunong'oneze.when I see u
my heart freezes,
my body shakes
Because you taste like a banana cake
you are my first candidate
We mkarrrreeeeeeee.....ingia shindano la kili music awards.Yo yo yo yoo
Nakuja kama naenda
Naenda km nakuja
usishangae sijakuganda
mi sio gamba bali ni Gwanda
Hahahaaaa huko kuna wenyewe sisi wazee tunavunja ChitChat tuWe mkarrrreeeeeeee.....ingia shindano la kili music awards.
...hahahaha. Erickb52..acha bana..mie sio mtwana..
...ila nawachek madenu humu wanababaikia mabwana...
....wengine eti wanakula vya mchana..tena bila hiyana
...sie tunawasikilizia tu kwa kona...wanadhani hatujawaona...
:drum::msela::violin::lalala:.......our family band....
..anashughulikia Tour yetu ya Ndani kisha Nje ya Nchi..Hahahaaaa da uko juu sana kijana
Wapi Preta aje akupe hug ya nguvu
Hawajui sisi huwa tunashuka verse mpaka hata tukiwa kwenye majamboz??Hahahaha!unajua hawa vijana hawajui hata ce enzi zetu tulitisha,alafu mistari lzm iendane na maudhui hahaha!niko kidoa zaidi,wapi papa Rejao mme wangu nampa cha awamu ya pili lol!