Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,027
- 285,584
Chahali huna tofauti na maiti , huna unachokipigania ,huna faida hata kwa shetani , kwa kweli ni hasara kubwa sana kwa wazazi wakoKwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?
I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.
On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.
Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."
Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.
Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Mkuu kumbe na wewe una lugha kali namna hii! Rudi kwenye lugha za kistaarabu hata kama umekasirika unaharibu haiba yako namna hiyo. Hujasoma Mithali 26:4?!Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Huyu jamaa snitchhhWewe ni mnafiki mkubwa!
Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.
Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.
Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Siku hizi huyu Salary Slip amekuwa na hasira kweli kweli. Sio yule tena. Ukimgusa kidogo tu anakuangushia matusi mazito, ha ha ha.Kamanda Kunywa maji baridi ulale
Huyo anatumika siku hizi ni wakumpuuza. Ilikuwa njaa watu wakafika bei. Hana tofauti na wale....Wewe ni mnafiki mkubwa!
Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.
Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.
Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Wewe ni mnafiki mkubwa!

Aje basi bongo kama anaweza.....Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.
Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.
Mnafiki mkubwa!!
Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.
Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.
Mnafiki mkubwa!!
Ungekuwa hauna uzito usingeusoma.Andika kwa kutumia aidha Kingereza ama Kiswahili. Vinginevyo ujumbe wako hauna uzito kihivyo kiuweledi. Ni kama hoja ya mlevi wa kawaida akiwa pub.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kamanda Kunywa maji baridi ulale
Haha. Kazi kweli kweliNasikia Membe ndiyo anakuja kuinunua Sacco's yenu
Achana na huyo jamaa.Mtu unaguswa na manyanyaso ya wapinzAndika kwa kutumia aidha Kingereza ama Kiswahili. Vinginevyo ujumbe wako hauna uzito kihivyo kiuweledi. Ni kama hoja ya mlevi wa kawaida akiwa pub.
Njoo huku upambane tukuone na sio kujificha huko Ulaya.Kejeli au nafsi inakusuta kwa sababu mmemtelekeza Mbowe? Na bora mie mnafiki ninayediriki kusema kwa Kejeli kuliko mnafiki wewe uliyekaa kimya.
Hivi kuna tofauti gani kati ya udikteta wako na huo wa Jiwe mnaolalamikia?
Kwa taarifa yako, Mbowe is my good friend. Tunafahamiana. Does he even know you mganganjaa? [emoji16]
Nafsi zinawasuta. Mmemtelekeza Mbowe kisa Membe. Yaleyale ya Dokta Slaa kwa Lowassa.Athari ya manyanyaso na ukandamizaji unaoendelea yataonekana sio kwa hastags au maneno mitandaoni. Achana na mdudu asiyejulikana mbele yake wapi na nyuma yake wapi. Tumeshamjua
Asante kwa ushauri wako, mkuu. Nitaufanyia kazibwana everist hiv kwa nini usianzishe course online ya ujasusi na uachane na hawa wanaharakati uchwara akina salary slip ambao hawatoi ushauri nini kifanyike kuyazuia haya maagizo kutoka juu kufanya kazi
Unachopaswa kuelewa ni kuwa mmemtelekeza Mbowe na Matiko. Kumrushia mawe mleta ujumbe hakuufanyi ujumbe husika kupoteza maanaWewe ni yule ex-tiss??? ahaaa naanza kuelewa kwanini ni ex.. !!!
walikuwa wanatafuta kiki kwa kuvunja sheria, na kama wangeachiwa wangejitapa kuwa serikali inawaogopa na sasa wanashighuriwa wanaanza kulalama na wanachama wao wameshawastukia kuwa ni 'wasanii' na ndio maana wameamua kukaa kimya.Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?
I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.
On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.
Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."
Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.
Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Vyuma vilivyobana huko Tz, si ajabu nawe watamani ungekuwa mkimbizi japo South Sudan kama sio Somalia [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe Chahali, kama maisha ya ukimbizi yamekushinda rudi bongo tu siyo mpaka ujipendekezependekeze!, na ukirudi lazima wakunyooshe kwa sababu wewe ni coward!
Sasa kwako chenye maana ni kipi, kuanzisha mada ya lawama kwa wanachadema kwamba hawajaanzisha hashtag ya #FreeMbowe au Kuanzisha mada kuwataka waliomshikilia Mbowe wamuachie huru?.
Cowards kama nyinyi huwa mko mbio kulaumu Victims badala ya Kulaumu wenye kutenda dhuluma!
You are out of your mind, nadhani ndiyo maana hata Mange alikuona uko out of your mind
Huna lolote!!!Hoja ya msingi njia ya kupambana na jiwe!!!Silence mean something!!Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Na sio ushirikiano tu, bali pia kasumba ileile tunayolaumu kuhusu CCM: Ukikosoa tu unakuwa umenunua ugomvi.uko sahihi sisi wafuasi wa upinzani hatuna ushirikiano na viongozi wetu. haiwezekan viongozi wakubwa mfano mbowe kuwa gerezani harafu mtandaoni tumejaza habar za membe. yaan et habar kubwa ya nchi iwe ni membe kugombea urais na sio mbowe kuwa jera. sisi tumelogwa.