Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Freemason ndio walioongoza American Revolution of 1776.
Pia Freemasons wameiratibu French Revolution ya 1789.
Na mambo mengine mengi katika historia yamefanywa na Freemasons.
Siku hizi kuna confusion , Freemason inaonekana tu kama Chama cha watu wanaotaka kujidhadlilisha.
Lakini haya mambo yote yanatokea kwa sababu ya misunderstandings.
Concept of Illuminati ni kwamba watu taahira wanachukua uongozi,halafu katika hasira zao wanataka kuwaua intellectuals wote.
Ndipo Illuminati band together to remove the tyrant.
Hata katika Russian Revolution utaona Freemason wapo.
Katika historia utaona there is a marriage kati ya espionage, politics and occultism
Hata Chinese Revolution,we could say things about the Chinese Revolution.
But we don't want to quarrel with the Chinese Secret Service, now,do we?
Lakini ipo video moja nimeiona zamani. Confessions of an Illuminati wife.
Naona hiyo hiyo video bado ipo YouTube. Isipokuwa sasa it goes by the name, Illuminati wife,She can't be making this up.