Freemason sign

Freemasonry basi wanatisha......hata hii....
 
Wana ishara nyingi sana na nyingine mnazi_present pasipokujua, ila jambo moja huwezi kutoka upande wao maana hata baadhi ya mavazi wao ndo watengenezaji hivo weeengi mnavaa pasi kujua mnawakilisha kina nani, lkn mtu wao AU kukutaka ujiunge lazima uwe na mvuto kwa jamii na watu wengi wawe upande wako (influence human)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…