Ccm hapo kiharo kinagonga chupi mkimsikia mbowe...!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbowe is a nobody before CCM now...!!! A dead frog
Wana chadema wanahama kwa maelfu na CCM wamerudisha wanachama wao walioenda chadema.., mbowe hafanyi lolote.
Ccm wamepita bila kupingwa Mbowe hafanyi lolote
Shughuli za kisiasa zimesimamishwa kwa upinzan Mbowe hafanyi lolote. Chama kinakufa hajagundua na hafanyi lolote
Chaguzi ndogo zote mbowe kapigwa na katafuta kisingizio cha kukwepa kujipima mpaka serikali za mitaa kaweka mpira kwapani ....Kawadanganya eti wanajiandaa kutoa tamko watu wasubiri badala yake kaenda Mwanza kuomba poo
Mtu wa hivi CCM watamuogopa kwa lip sasa.
Leo hii anaendesha kampeni haramu ya kuwachapa waliohamia toka ccm kwa kisingizio cha usaliti bila kujua hao ndio walimfanya afikishe zile kura 6m na wale wabunge. Kwa kufanya hivi anaimaimarisha zaidi CCM maana Membe, Nape au Makamba na wengineo hawawezi kukimbilia CDM tena ambako watanyanyaswa ni bora wabaki CCM au waende ACT ...
Mbowe aliyepoteza wapambanaji wenzie kuanzia Chacha Wangwe, Aman Kabourou, Zito Kabwe, Said ARFI, Dr. Slaa,Prof. Safari Kitila Mwambapa na Mwigamba a achilia mbali Lowasa na Sumaye... sasa anawatafuta kina Komu na Kubenea na Mwambe...Hizi ndizo gharama anazolipa ili kulinda uenyekiti wake..
Pamoja na yote keyboard warriors wanajitutumia kipumbavupumbau humu...hivi mnapata wapi ujasiri au mnafikiri wabongo ni mafala sana etii!!??
ACHENI KUJIDANGANYA.. ZAMA ZA MBOWE ZINAISHA KWA KASI SANA
CCM wanamuogopa Maalim Seif tu kwa sasa.