Freeman Mbowe Vs Sir Alex Ferguson

Watu huwa tunawafananisha watu wa Lumumba na Nyumbu mnyama na ina-make sense sembuse binadamu Mbowe na binadamu Ferguson? Tuliza mshono we nyumbu
 
Chadema imetoa katibu mkuu waa wizara ya maji, mkuu was mkoa was Kilimanjaro, naibu waziri wa michezo
 
Hata kama haufuatilii kinachoendelea kwenye siasa kupitia mfano wa Sir Alex feggie nadhani utakua umeelewa, heko kwa analysis ya kiwango cha makinikia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chadema oyeeeee! Sasa ndio wakati muafaka wakuifafanua itikadi ya chama vizuri zaidi, kuliko wakati wowote. CCm wameishapoteza mwelekeo Eti wanadai wanajenga uchumi wa kijamaa, karne ya 21, alafu wanatumia trip.1.5 kununua wapinzani
 
Sikufaham kama umu ndani kunatolewa airtime...anyway am out the league, sidhani kama hii ni size yangu[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani siasa sio biashara? Watu wananunuliwa kila siku we huoni? [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense, you're a mere noise maker. Huna hoja.
 
Asante sana Mh. Mbowe umetupa ujasiri sisi CCM. Mwenzetu uliona mbali baada ya kukalia uenyekiti miaka 2 tu ukabadili katiba ya Chama mwaka 2006 kuondoa ukomo, kweli una MAONO aisee...!!!
Mwaka huu kazi ilikuwa ndogo tu ya kuhonga vijana wachache kama huyu Pambalu waandamane kukuchukulia form pale ufipa. Wengine wote wamefuata mkumbo na kukufagilia kama vichaa wakiongozwa huyu Pambalu
Na sisi tukibadili katiba bunge la 2020 kidemokrasia kabisa maana tutakuwa na wingi wa wabunge na kisha mwaka 2025 tutapanga maandamano ya wananchi Nchi nzima kuanzia Kigoma, Mwanza Mtwara, Mbeya na Manyara mpaka Dodoma kumuomba JPM agombee awamu ya tatu..
Huu ni kwa sababu tunaamini JPM ukiondoka madarakani kazi uliofanya zitakuwa kama vile ilivyokuwa Man U alipoondoka Sir. Ferguson.
Aisee nakukubali sana Mbowe umekuwa mwalimu mzuri wa siasa wa CCM..
Tukutane 2025 na tusilaumiane
 
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
Lakini nadhani hawa ni kama midfield players usisahau kwamba kuna wachezaji wengine ma beki, winger na wengine pia wanakaa meza ya ufundi.
 
Hii mada haututendei haki wana- Man U kabisa!
Sema tu sababu watu ni wabishi. Mngeweza kukubali, tungependa kuombwa radhi aisee.
 

Ccm hapo kiharo kinagonga chupi mkimsikia mbowe...!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…