Freeman Mbowe vs Kansa Mbarouk - Uenyekiti CHADEMA

Tanzaniaist

Senior Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
161
Reaction score
158
+Yafuyatayo ni Mfanikio ya Freeman Aikaeli Mbowe ndani ya Chadema, kuanzia 2005 alipoombwa na wazee wa chama kugombea nafasi hiyo.

1.Kukitoa chama kutoka wabunge wanne 2000-2005,mpaka wabunge 23 wa kuchaguliwa na madiwani zaidi ya 300, na kukiwezesha chama chini ya uongozi wake kuongoza halmashauri mbalimbali kama karatu,moshi,tarime na nk... siku zote naamini chama chochote cha upinzani bila ya kuwa na hata mwakilishi serikilini kama diwani,mbunge hata mwenyekiti wa mtaa hicho chama hakipo imara.

2.Kujenga safu nzuri ya uongozi..,mimi naamini kiongozi mzuri hawezi kufanikiwa bila kuwa na safu makini,..kipindi Freeaman Mbowe alipokuwa mwenyekiti alipendekeza Dk.Wilbroad Slaa kuwa katibu mkuu, Zitto kabwe kuwa naibu katibu mkuu na vile vile Mbowe aliuunda safu nzuri ya vijana chini ya mnyika, na safu mbali mbali ya makada waliokijenga chama kama benson kigaila,anthony komu,mtelemw,Tundu lissu... ambapo namfannaisha na kocha wa mpira anayefanya usajili wa wachezaji wazuri

3.Freeman Mbowe ametoa mchango mkubwa katika kupika,kuwajenga na kulea vijana ambao wameleta mchango mkubwa kwa chadema na hata kwa taifa letu hili..,
+Huwezi kumtaja zitto kabwe katika maisha yake bila mbowe, kwanzia kumsadia kifedha katika masomo kipindi zitto
Anasoma chuo udsm,kujemjenga kisiasa na hata kumsadia kushinda ubunge 2005.
+Na pia vijana mbali mbali mfano mnyika,mdee,Regia mtema, na nk

4.Freeman amekuwa mchango mkubwa sana kwa chadema kwa hali na mali na hata kusacrifice biashara zake, mfano mzuri alikipa chama zaidi ya milliono 400. wakati wa kampeni kipindi hicho chama kikiwa kinapata ruzuku kidogo na hata kuwezesha kukomboa majimbo kama karatu na moshi mjini, na nani hatasau 2005 kule karatu jinsi gani Mbowe alivyorisk maisha yake wakati CCM waliokuwa wakimfanyia faulo Dk.Slaa

6.Freeman mbowe ameweza kuanzisha operesheni na vugu vugu mbali mbali hasa operesheni sangara iliojenga chama kanda ya ziwa, m4c daima na nyingine mbali mbali ambazo zina mchango mkubwa kwa chama. na kuasisi matumizi ya helikopta yaliyokuwa yakiwapa mshike mshike CCM

Haya ni baadahi ya mafanikio tu..,yapo mengi na moja ikiwemo kuasisi chadema's swaga uvaaji wa kombat,bendera mpya ya chadema...,

Sasa tukimaliza kwa Mbowe, tuje kwa ndugu yetu Kansa Mbarouk.

Haya ndo mafanikio ya Kansa ndani ya chadema.

1.Amekuwa Mwenyekiti wa Chadema-mkoa(Tabora) kwa muda mrefu..,huku chama kikiwa hakina hata mbunge mmoja,mwenyekiti wa serikali hata mmoja huku kikiwa na madiwani wawili tu pale igunga.

2.Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga mtandao wa Zitto Kabwe kula tabora ambao ulikuwa unabomoa chama. mimi naami ziku zote kiongozi ni kosa kuwa sana kutumika kimaslahi na kuhamasisha mtandao.

============

Kwa kusoma manifesto na strategy za mgombea huyu ni wazi hana mpinzani kwa hoja na sera. Ni wazi kama atapewa jukumu la kuiongoza CHADEMA ataitranform na itakua mwisho wa deserters ambao malalamiko yao ni kuwa viongozi wa juu wamekosa vision.

Siku zote kiongozi kipimo kikubwa cha kiongozi ni utekelezaji na sio ahadi hewa, strategies za mafanikio na sio na impossible strategies.,siku zote results ndo kipimo sahihi za kiongozi..,
 
atavunja
ubaguzi
ukanda
udini
upendeleo
uhsfidhina
uliwaji wa ruzuku
kujikopesha hela hovyo
kokepesha chama vitu vibovu then kulipwa km vipya
makundi
 
kwa kusoma manifesto na strategy za mgombea huyu ni wazi hana mpinzani kwa hoja na sera. ni wazi km atapewa jukumu la kuiongoza chadema ataitranform na itakua mwisho wa deserters ambao malalamiko yao ni kuwa viongozi wa juu wamekosa vision.

Mkuu kwa sababu kesho ni uchaguzi sio ajabu leo kusikia miziki kama hii kwani usanii ndiyo taaluma yenu. Na afadhari usanii wa graduate wa Bagamoyo kuliko huo wenu wa mitaani. Shame on you...........
 
mkuu shangilia jamaa ni jembe
 
Mkuu kwa sababu kesho ni uchaguzi sio ajabu leo kusikia miziki kama hii kwani usanii ndiyo taaluma yenu. Na afadhari usanii wa graduate wa Bagamoyo kuliko huo wenu wa mitaani. Shame on you...........

Mkuu huyu Punga wala sio msanii,rather ni Boya flan aliyepoteza muelekeo wa Ki Maisha baada ya kupotezwa na Chama Kubwa ambalo ni Mpango wa Mungu kwa ajili ya upuuzi wake.
Sasa kila siku anahaha hapa JF kuitaja taja CHADEMA.
Mkuu unajua unapomuacha Mkeo kwa upuuzi wake halafu ukaona anaendelea kukufuata fuata ujue bado anazimika na mziki wako ila hana jinsi
 
mkuu nakupuuza ninawaswas na ubongo wako
 
Unajua ninachokiona hapa ni kwamba ama una mapenzi binafsi na Mbaruku unataka apate cheyo, ama unafahamu kwamba uongozi uliopo ni tishio kwa ccm na hivyo unapiga debe ili wapate kiongozi boya.

Hakuna mtu mwenye akil timamu anayeweza kuona una nia nzuri ya kuitakia CDM kiongozi mwema wakati unaomba usiku na mchama ife.

Kwa debe hili, ndipo unawasaidia wapiga kura wasifanya makosa ya kumchagua mbaruku.

Sasa nenda ukatoe ushauri kwa acT na ccm

Haya kwa heri, nenda salama.!.

kwa kusoma manifesto na strategy za mgombea huyu ni wazi hana mpinzani kwa hoja na sera. ni wazi km atapewa jukumu la kuiongoza chadema ataitranform na itakua mwisho wa deserters ambao malalamiko yao ni kuwa viongozi wa juu wamekosa vision.
 
Unajua ninachokiona hapa ni kwamba ama una mapenzi binafsi na Mbaruku unataka apate cheyo, ama unafahamu kwamba uongozi uliopo ni tishio kwa ccm na hivyo unapiga debe ili wapate kiongozi boya.

Hakuna mtu mwenye akil timamu anayeweza kuona una nia nzuri ya kuitakia CDM kiongozi mwema wakati unaomba usiku na mchama ife.

Kwa debe hili, ndipo unawasaidia wapiga kura wasifanya makosa ya kumchagua mbaruku.

Sasa nenda ukatoe ushauri kwa acT na ccm

Haya kwa heri, nenda salama.!.

mkuu kasome first comment yang apo ju utaelewa
 
jamani mrithi wa mbowe ni lema wamemuandaa kabisa huyo jamaa hapati kabisa
 
kwa kusoma manifesto na strategy za mgombea huyu ni wazi hana mpinzani kwa hoja na sera. ni wazi km atapewa jukumu la kuiongoza chadema ataitranform na itakua mwisho wa deserters ambao malalamiko yao ni kuwa viongozi wa juu wamekosa vision.

Penye nyekundu hebu tupe hizo manifesto na strategy zake. Mahaba yanakumaliza uwezo wako wa kuchambua mambo.
 
Kwani kansa sio chadema mbona wamepanic as if mboe anashindana na ccm
 
+Yafuyatayo ni Mfanikio ya Freeman Aikaeli Mbowe ndani ya Chadema, kuanzia 2005 alipoombwa na wazee wa chama kugombea nafasi hiyo.

1.Kukitoa chama kutoka wabunge wanne 2000-2005,mpaka wabunge 23 wa kuchaguliwa na madiwani zaidi ya 300, na kukiwezesha chama chini ya uongozi wake kuongoza halmashauri mbalimbali kama karatu,moshi,tarime na nk... siku zote naamini chama chochote cha upinzani bila ya kuwa na hata mwakilishi serikilini kama diwani,mbunge hata mwenyekiti wa mtaa hicho chama hakipo imara.

2.Kujenga safu nzuri ya uongozi..,mimi naamini kiongozi mzuri hawezi kufanikiwa bila kuwa na safu makini,..kipindi Freeaman Mbowe alipokuwa mwenyekiti alipendekeza Dk.Wilbroad Slaa kuwa katibu mkuu, Zitto kabwe kuwa naibu katibu mkuu na vile vile Mbowe aliuunda safu nzuri ya vijana chini ya mnyika, na safu mbali mbali ya makada waliokijenga chama kama benson kigaila,anthony komu,mtelemw,Tundu lissu... ambapo namfannaisha na kocha wa mpira anayefanya usajili wa wachezaji wazuri

3.Freeman Mbowe ametoa mchango mkubwa katika kupika,kuwajenga na kulea vijana ambao wameleta mchango mkubwa kwa chadema na hata kwa taifa letu hili..,
+Huwezi kumtaja zitto kabwe katika maisha yake bila mbowe, kwanzia kumsadia kifedha katika masomo kipindi zitto
Anasoma chuo udsm,kujemjenga kisiasa na hata kumsadia kushinda ubunge 2005.
+Na pia vijana mbali mbali mfano mnyika,mdee,Regia mtema, na nk

4.Freeman amekuwa mchango mkubwa sana kwa chadema kwa hali na mali na hata kusacrifice biashara zake, mfano mzuri alikipa chama zaidi ya milliono 400. wakati wa kampeni kipindi hicho chama kikiwa kinapata ruzuku kidogo na hata kuwezesha kukomboa majimbo kama karatu na moshi mjini, na nani hatasau 2005 kule karatu jinsi gani Mbowe alivyorisk maisha yake wakati CCM waliokuwa wakimfanyia faulo Dk.Slaa

6.Freeman mbowe ameweza kuanzisha operesheni na vugu vugu mbali mbali hasa operesheni sangara iliojenga chama kanda ya ziwa, m4c daima na nyingine mbali mbali ambazo zina mchango mkubwa kwa chama. na kuasisi matumizi ya helikopta yaliyokuwa yakiwapa mshike mshike CCM

Haya ni baadahi ya mafanikio tu..,yapo mengi na moja ikiwemo kuasisi chadema's swaga uvaaji wa kombat,bendera mpya ya chadema...,

Sasa tukimaliza kwa Mbowe, tuje kwa ndugu yetu Kansa Mbarouk.

Haya ndo mafanikio ya Kansa ndani ya chadema.

1.Amekuwa Mwenyekiti wa Chadema-mkoa(Tabora) kwa muda mrefu..,huku chama kikiwa hakina hata mbunge mmoja,mwenyekiti wa serikali hata mmoja huku kikiwa na madiwani wawili tu pale igunga.

2.Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga mtandao wa Zitto Kabwe kula tabora ambao ulikuwa unabomoa chama. mimi naami ziku zote kiongozi ni kosa kuwa sana kutumika kimaslahi na kuhamasisha mtandao.

============

Kwa kusoma manifesto na strategy za mgombea huyu ni wazi hana mpinzani kwa hoja na sera. Ni wazi kama atapewa jukumu la kuiongoza CHADEMA ataitranform na itakua mwisho wa deserters ambao malalamiko yao ni kuwa viongozi wa juu wamekosa vision.

Siku zote kiongozi kipimo kikubwa cha kiongozi ni utekelezaji na sio ahadi hewa, strategies za mafanikio na sio na impossible strategies.,siku zote results ndo kipimo sahihi za kiongozi..,

Tuwekee na details kuhusu Mbarouk plz.
 
Achaguliwe mwingine tumechoka kumsikia yeye tuuu kila siku utafikiri yuko peke yake chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom