lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Mnamuogopa??Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Viongozi wa Upinzani wanatakiwa wawe wa mfano katika kutimiza yale wanayoahidi na kuongea, hakuna mtu alimlazimisha kutangaza kuwa atastaafu siasa mwaka 2023Mnamuogopa??
Kuwezi serious ,itawezekana vipi Mbowe akabidhi chama wakati yeye ndio ajira yake ya kudumu?Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Humjui Mbowe!Kuwezi serious ,itawezekana vipi Mbowe akabidhi chama wakati yeye ndio ajira yake ya kudumu?
Nafikiri tukuulizeni ninyi kwamba Bandari mnarudisha lini?Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Kwanza limalizike hili la Dpw na katiba mpya ndio tuje kwenye hoja yako.Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Wenye hayo majina na vyeo hivyo wangekutana na huyu kiumbe,wangemla nyama.Mara lord atkin , mara Lord denning . Uwe unapumzika Mkuu..
Sioni akitekeleza hilo, naona anajikausha akidhani tumesahau ahadi zake. Upuuzi mtupu.Viongozi wa Upinzani wanatakiwa wawe wa mfano katika kutimiza yale wanayoahidi na kuongea, hakuna mtu alimlazimisha kutangaza kuwa atastaafu siasa mwaka 2023
Mwl. Nyerere mwaka 1980 alitaka kuiachia nafasi yake ya uongozi lakini mazingira yakamlazimisha kuahirisha uamuzi huo mpaka ilipofika mwaka 1985.Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?