Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
miaka hamsini ya uhuru wa kuiba mali za uma?angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa chadema.
Unazungumzia zile sherehe za mbio za kibatari cha magamba? Then mnakesha mkifanya ngono zembe na kujaza wasichana wa shule za msingi mimba? Hizo chadema na mh.mbowe hawawezi kuhudhuria hata kidogo.Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
Unazungumzia zile sherehe za mbio za kibatari cha magamba? Then mnakesha mkifanya ngono zembe na kujaza wasichana wa shule za msingi mimba? Hizo chadema na mh.mbowe hawawezi kuhudhuria hata kidogo.
Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
Kijana unamatatizo ya mtindio wa ubongo, ndio sababu huishi kuandika pumba na ushuzi himu jamvini.magamba yamekuvuruga sana.
unataka ahudhurie sherehe gani?
Harakati za Uchaguzi ndani ya Chama chake zimeanza. Wahafidhina bwana wana mambo miaka yote alikuwa wapi au ushabiki umeanza mwaka huu tu! Ngoja Zitto aende utawasikia vijana wake wakisema anatafuta umaarufu wa kisiasa ila Mbowe aa! Kweli kunya anye Kuku akinya bata kahara. HAKUNA MWANASIASA ASIYETAFUTA UMAARUFU DUNIANI. Kila siku ni kulinda Umaarufu na kuhangaika kuuongeza. By the way yuko Timu gani??Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe muda mfupi ujao ataingia uwanja wa Taifa kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga.
Kiongozi huyo ataingia uwanja wa Taifa akitokea Jijini Mbeya ambapo jana alihudhuria mechi ya Mbeya City na JKT na kukaa Jukwaa la Mbeya City ambapo timu hiyo ilishinda 1-0
Taarifa zinasema Mbowe hatakaa Jukwaa la VIP linalotumiwa na viongozi uwanja wa Taifa bali atakaa Jukwaa la wananchi wa kawaida kama alivyofanya jana Mbeya.
Jana kiongozi huyo alikataa kukaa Jukwaa kuu alipokuwa mkuu wa wilaya ya Mbeya badala yake akaenda na msururu wa msafara wake kwenye wananchi wa kawaida hali iliyosababisha uwanja mzima kumshangilia kwa mayowe ambapo mkuu wa wilaya alionyesha hali ya kukata tamaa na wasiwasi mkubwa.
Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
Naona anataka ahudhurie mbio za mwenge...teh teh teh teh.!
Harakati za Uchaguzi ndani ya Chama chake zimeanza. Wahafidhina bwana wana mambo miaka yote alikuwa wapi au ushabiki umeanza mwaka huu tu! Ngoja Zitto aende utawasikia vijana wake wakisema anatafuta umaarufu wa kisiasa ila Mbowe aa! Kweli kunya anye Kuku akinya bata kahara. HAKUNA MWANASIASA ASIYETAFUTA UMAARUFU DUNIANI. Kila siku ni kulinda Umaarufu na kuhangaika kuuongeza. By the way yuko Timu gani??
Ukimfuatilia huyu jamaa kwa makini utagundua lazima anavurugwa ki -elton john.