Freeman Mbowe na Viongozi wa Juu wa CHADEMA kushiriki mazisha ya Mama yake JK (Bi Nuru)leo Bagamoyo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Hawa ndio wanasiasa wakomavu na wakongwe wa siasa waliobaki tanzania kwa sasa.
1.Lowassa
2.Jakaya
3.Kingunge
Na kwa kudhibitisha uwezo huo wa juu wa kisiasa leo Lowassa na Kingunge watahudhuria mazishi ya mama jakaya huko bagamoyo.Tegeni kamera zenu!
 
Wala hakuna ukomavu wowote hapo.
Labda ni akili yako imepata ukomavu sasa katika mambo ya siasa. Kwa taarifa yako, Kikwete, Lowasa na Kingunge katika maisha ya kawaida nje ya siasa ni marafiki wakubwa. Kikwete alishawahi kusema yeye na Lowasa hawakukutana barabarani.

BTW, uadui katika siasa uko kwa 'wanaofanyiwa' siasa na kamwe sio kwa 'wafanya' siasa.
 
Katika mambo ya misiba,
TOFAUTI kati ya mtu na mtu HUWEKWA KANDO.
After all kutofautiana KISIASA si UADUI bali ni utofauti ya MITAZAMO.
Bali wote wanabaki kuwa ni WATANZANIA.
 
Wala hakuna ukomavu wowote hapo.
Labda ni akili yako imepata ukomavu sasa katika mambo ya siasa. Kwa taarifa yako, Kikwete, Lowasa na Kingunge katika maisha ya kawaida nje ya siasa ni marafiki wakubwa. Kikwete alishawahi kusema yeye na Lowasa hawakukutana barabarani.

BTW, uadui katika siasa uko kwa 'wanaofanyiwa' siasa na kamwe sio kwa 'wafanya' siasa.

Mwambie huyo. Wanatoana macho na kuumizana bure huku wenyewe siku zote wanacheka pamoja
 
Leo inasikilizwa kesi namba 9 ya Kikatiba niliyoifungua dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro, na ZCO Wambura, itaanza kusikilizwa saa 7 mchana Mahakama Kuu ya Dar es salaam leo Jumatano 08/03/2017.

Baada ya kesi Mahakamani, nikiambatana na Viongozi wengine wa Chama tutakwenda kushiriki mazishi ya Mama yake Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Bi. Nuru Khalfani Shomvi, huko Bagamoyo.

49 Comments
8 Shares
 
Back
Top Bottom