Wadau Jf,
Katika moja ya hotuba alizowahi kutoa Mh Freeman Mbowe wakati wa kuwashukuru wazee kutoka Kigoma waliomchangia pesa ili achukue fomu ya kugombea uenyekiti wa CDM Taifa, aliwahi kusema " CCM wataujua muziki wa Chadema wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa". Mbowe ni mwanasiasa makini na anyejua nini anafanya, big up Mbowe!!
Mziki wameshauona, maccm hayawezi hata kuucheza yamezoeea mziki wa Komba.
Salam zimewafikia. Walikuwa wanabeza sasa wanapishana pishana tu.
Ragge unacheza taarabu?
Na kwakifupi ccm aka Escrow wameona mziki wa ChademaWadau Jf,
Katika moja ya hotuba alizowahi kutoa Mh Freeman Mbowe wakati wa kuwashukuru wazee kutoka Kigoma waliomchangia pesa ili achukue fomu ya kugombea uenyekiti wa CDM Taifa, aliwahi kusema " CCM wataujua muziki wa Chadema wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa". Mbowe ni mwanasiasa makini na anyejua nini anafanya, big up Mbowe!!
Ushindi wenu ni maneno , ongeeniMziki wameshauona, maccm hayawezi hata kuucheza yamezoeea mziki wa Komba.
Salam zimewafikia. Walikuwa wanabeza sasa wanapishana pishana tu.
Ragge unacheza taarabu?
Wa 14%?Na kwakifupi ccm aka Escrow wameona mziki wa Chadema
67% ni ya lini?ccm hawaamini tok a98% mwaka 2009 hadi 67%
Wanajifariji haaa CHADEMA67% ni ya lini?
Mbowe ni habari ya mjiniWadau Jf,