Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Kama 14% ndiyo muziki, basi mumekwishaNa kwakifupi ccm aka Escrow wameona mziki wa Chadema
Kama 14% ndiyo muziki, basi mumekwishaNa kwakifupi ccm aka Escrow wameona mziki wa Chadema
Wanajifariji haaa CHADEMA
na hapo ni pamoja na msaada wa Tumbili na escrow, je tumbili asinge leta escrow wangepata ngapi?14% music
kwahio ni ChademaWadau Jf,
Katika moja ya hotuba alizowahi kutoa Mh Freeman Mbowe wakati wa kuwashukuru wazee kutoka Kigoma waliomchangia pesa ili achukue fomu ya kugombea uenyekiti wa CDM Taifa, aliwahi kusema " CCM wataujua muziki wa Chadema wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa". Mbowe ni mwanasiasa makini na anyejua nini anafanya, big up Mbowe!!
67% ni ya lini?
Latest kiao cha tezi dume siyo jumatatu tena bali kimehairishwa mpaka jumatano na safari hii analihutubia taifa siyo kuhongea na wazee tena du sources redio free afrika taarifa ya habari saa kumi jioni muda si mrefu
na hapo ni pamoja na msaada wa Tumbili na escrow, je tumbili asinge leta escrow wangepata ngapi?
Ni mjinga tu ndani ya uhai wa chama miaka 25 anajivunia asilimia 14.swineee.
Mziki wameshauona, maccm hayawezi hata kuucheza yamezoeea mziki wa Komba.
Salam zimewafikia. Walikuwa wanabeza sasa wanapishana pishana tu.
Ragge unacheza taarabu?
na hapo ni pamoja na msaada wa Tumbili na escrow, je tumbili asinge leta escrow wangepata ngapi?
Ni mjinga tu ndani ya uhai wa chama miaka 25 anajivunia asilimia 14.swineee.