Freeman Mbowe: Muziki wa CHADEMA mtauona....

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
463
Reaction score
374
Wadau Jf,
Katika moja ya hotuba alizowahi kutoa Mh Freeman Mbowe wakati wa kuwashukuru wazee kutoka Kigoma waliomchangia pesa ili achukue fomu ya kugombea uenyekiti wa CDM Taifa, aliwahi kusema " CCM wataujua muziki wa Chadema wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa". Mbowe ni mwanasiasa makini na anyejua nini anafanya, big up Mbowe!!
 
Mziki wameshauona, maccm hayawezi hata kuucheza yamezoeea mziki wa Komba.

Salam zimewafikia. Walikuwa wanabeza sasa wanapishana pishana tu.

Ragge unacheza taarabu?
 
Mkuu mbona inafamika hiyo! Acha wapiga zumali waendelee kumbeza eti sijui hana tittle ya Dr/Prof! Huyu anajua akifanyacho na tunategemea mengi zaidi ya hayo.
 
Mziki wameshauona, maccm hayawezi hata kuucheza yamezoeea mziki wa Komba.

Salam zimewafikia. Walikuwa wanabeza sasa wanapishana pishana tu.

Ragge unacheza taarabu?

ccm hawaamini toka 98% mwaka 2009 hadi 67% mwaka 2014 kwenye mitaa
 
Latest kiao cha tezi dume siyo jumatatu tena bali kimehairishwa mpaka jumatano na safari hii analihutubia taifa siyo kuhongea na wazee tena du sources redio free afrika taarifa ya habari saa kumi jioni muda si mrefu
 
Kama kungekuwepo na muda wa kutosha wa uandikishaji, Usimamizi pasipo na mizengwe, hakika CCM wangeangukia pua! Jamani CCM haikubaliki ktk kila kona ya nchi hii
 
Fimbo chapa fimbo chapa. wameshuka gafla alafubado wanatamba wameshinda kwa mapingamizi pingamizi za ccm kwenye uchaguzi huu haina tofauti na ubunge wa zito kabwe
 
Mbona mkuu wa kaya anayumbayumba sana mara asubuhi watangaze atahutubia jtatu mara atahutubia jtano na atalihutubia taifa na siyo wazee tena
 
CCM ni Chama cha Matunguri!
IMG_6747.JPG
 
Wadau Jf,
Katika moja ya hotuba alizowahi kutoa Mh Freeman Mbowe wakati wa kuwashukuru wazee kutoka Kigoma waliomchangia pesa ili achukue fomu ya kugombea uenyekiti wa CDM Taifa, aliwahi kusema " CCM wataujua muziki wa Chadema wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa". Mbowe ni mwanasiasa makini na anyejua nini anafanya, big up Mbowe!!
Na kwakifupi ccm aka Escrow wameona mziki wa Chadema
 
Mziki wameshauona, maccm hayawezi hata kuucheza yamezoeea mziki wa Komba.

Salam zimewafikia. Walikuwa wanabeza sasa wanapishana pishana tu.

Ragge unacheza taarabu?
Ushindi wenu ni maneno , ongeeni
 
Wadau Jf,
Katika moja ya hotuba alizowahi kutoa Mh Freeman Mbowe wakati wa kuwashukuru wazee kutoka Kigoma waliomchangia pesa ili achukue fomu ya kugombea uenyekiti wa CDM Taifa, aliwahi kusema " CCM wataujua muziki wa Chadema wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa". Mbowe ni mwanasiasa makini na anyejua nini anafanya, big up Mbowe!!
Mbowe ni habari ya mjini
 
Back
Top Bottom