Lakini na Mdee wameshaachana njiapanda.Ngoja waje
Awali Mbowe alimuandaa Halima James Mdee lakini baada ya Usaliti sasa anamwangalia zaidi John Heche wa Tarime na Salum Mwalimu wa Unguja
Lisu cheo chake ni " Mgombea urais"Lakini na Mdee wameshaachana njiapanda.
Kuna tetesi zilivuma mitandaoni kuwa Lisu ndiye anaweza kurithi viatu vya Mbowe.
Anayerithiwa nafasi punguza usani wakoYa mrithi wa Mbowe?
Subiri watazileta
Heche au lissu ndio wanafaa zaid.Ngoja waje
Awali Mbowe alimuandaa Halima James Mdee lakini baada ya Usaliti sasa anamwangalia zaidi John Heche wa Tarime na Salum Mwalimu wa Unguja
walitaka awe Zitto ikashindikana.Kwani Ccm mna nataka nani awe kiongozi wa chadema
CHADEMA - Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Watu na Maendeleo,Uhuru wa Watu na Maendeleo,kwa tafsiri hiyo UMMA ndiyo wenye mamlaka kuona kuwa nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema siku Mbowe akitoka madarakani na siyo Mbowe kumwandaa mrithi wake.Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo amedumu madarakani kwa muda mrefu akijaribu kumfukuzia Baba wa Taifa kwa muda ambao aliiongoza TANU hatimaye CCM tangu uhuru hadi alipoamua kung'atuka kwa hiyari yake.
Ingawa tuampiga mishale mingi bwana Mbowe lakini ameendelea kuwa nguzo ya CHADEMA hasa kuelekea kwenye mitaguso ya kisiasa. Pamoja na kufanyiwa hila za kihuni na CCM kuitumia NHC kuporomosha biashara zake ambazo amezirithi kutoka kwa baba yake.
Hivi karibuni alikabiliwa na kesi ya kubumba ya ugaidi ambapo kupitia ushahidi uliotolewa mahakamani, sisi kama jamii tulifunguka macho kugundua UKATILI mkubwa unaofanywa na CCM kupitia jeshi la polisi ambao wanatumika kudhibiti upinzani wa kisiasa dhidi ya CCM
Swali ambalo kama jamii ya wadadisi wa siasa za Tanzania tunapaswa kupata majibu ni kuhusu succession plan, kwamba baada ya yeye ameandaliwa nani kupokea kijiti kuweza kuipeleka CHADEMA kwenye kufanikisha malengo yake ya kuongoza dola kwa manufaa ya Watanzania?
Kiongozi makini ni yule ambaye anaongoza huku akiandaa watu wanaoweza kuongoza dira na malengo ya taasisi.
Uzi huu siyo sehemu ya shinikizo la kumtaka ang'oke madarakani
Na wakataka awe Nyalandu wakashindwa piawalitaka awe Zitto ikashindikana.
Ametangaza kustaafu 2023CDM ikipata Dola ndo utakuwa Wakt fasaha wa Mbowe kung'atuka nafasi ya mkt.
Mf Zittow kabwe angepewa uenyekiti enzi zile analeta chikochoko, CDM ingeshakuwa kama NLD.
Narudia kusema Ili Mbowe ang'atuke, ahakikishe CDM inashuka DOLA.
2023Ametangaza kustaafu 2022
Tutamlazimisha aendelee.Ametangaza kustaafu 2023