Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
Kwa vile mimi ni mshitakiwa lazima nitakuwepo.Mshitakiwa wa kwanza ni Chadema na Mbowe ni mshitakiwa wa pili

Kama kawaiiidaaa! Tutakuwa mahakamani na na tutareport live kama kawaida yetu!

Hakuna kulala mpaka kieleweke! Na ili kuweka mambo sawa, nitakuwa na kadi yangu mfukoni na nitafahamika kama mtuhumiwa namba moja!

Wanajamvi,

Kesho mwenyekiti taifa chadema Kamanda Mbowe atasimama mahakamani kesho mjini Arusha,hii ni kesi iliyofunguliwa na waliokuwa madiwani,

Mshitakiwa wa kwanza ni Chadema na Mbowe ni mshitakiwa wa pili

Tunawaomba wanachama wote kujitokeza kwa wingi hiyo kesho kusikiliza mwendelezo wa kesi hii
Tena mshitakiwa namba 1! Safi sana usikose.Kwa vile mimi ni mshitakiwa lazima nitakuwepo.

kamanda

nanyaro،kwa nini mbowe awe mshtakiwa wa pili na cyo mtu mwingine yeyote yule