Spika sijui anataka nini! Ila itabidi huu uonevu ukome, na ili ukome njia ni moja tu...Julius Malema hizi siasa za Afrika anazimudu sana jamaa yule.Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe amelaani kitendo cha wabunge 8 wa upinzani kukamatwa na jeshi la polisi kwa madai yakutaka kumpiga mbunge wa CCM Juliana Shonza, na kusema hawajapeleka mabondia bungeni.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe
Freeman Mbowe amesema hayo leo mjini Dodoma baada ya kutoka mahakamani na kudai kuwa wao wanaamini kuwa mahakama itatenda haki kwa wabunge hao.
"Kama ambavyo mnajua kwa masaa zaidi ya 48 wabunge wa CHADEMA wameshinda polisi, jana siku nzima wameshinda polisi na leo wameshinda polisi mpaka mchana huu, kwa maana hiyo wawakilishi hawa wa wananchi wameshindwa kuwajibika kwa ajili ya wananchi kwa makosa ambayo kimsingi kabisa hayakutakiwa kupewa uzito huu yanaopewa, inasemakana kuwa wabunge hawa walimfanyia fujo Mbunge wa viti maalum (CCM) Juliana Shonza jambo hili linafedhehesha sana, sisi tuna wabunge ambao wanajiheshimu na kuheshimu sheria za nchi, hatukupeleka wapiganaji bungeni bali tumepeleka viongozi wa kutunga sheria" alisisitiza Freeman Mbowe
Mbali na hilo Mbowe anasema kitendo cha Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kulivalia njuga suala hilo ni jambo ambalo yeye limemsikitisha.
"Kitendo cha kuwapeleka polisi na kuwashtaki wabunge wetu na Spika wa Bunge kushadadia jambo hili limenisikitisha sana, Spika kusema ametoa ruhusa wahukumiwe kwa kesi za jinai ni mwendelezo wa kutaka kutunyamazisha, ila hatutayumba na tunaamini kuwa jopo la majaji litatenda haki katika jambo hili, maana hakuna mbunge yoyote wa CHADEMA wala UKAWA ambaye amemshambulia mbunge yoyote yule bungeni" alisisitiza Mbowe.
Katika watuhumiwa wote nane, mtuhumiwa mmoja ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ubungo, Mbunge Saed Kubenea leo alipandishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa moja la shambulio la kawaida hivyo amedhaminiwa na shauri hilo upelelezi wake bado haujakamilika hivyo kesi itatajwa tena tarehe 26, Julai 2017 Dodoma.
Juliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.Spika sijui anataka nini! Ila itabidi huu uonevu ukome, na ili ukome njia ni moja tu...Julius Malema hizi siasa za Afrika anazimudu sana jamaa yule.
hivi ile picha iliyoonyesha badhi yao wakiwa wamemshika au kumsonga ni ya kupika?? au walikuwa wakifanya naye mapenzi au walikuwa wanamtongoza au kumtamani?? ambayo ndio kazi walio tumwaKiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe amelaani kitendo cha wabunge 8 wa upinzani kukamatwa na jeshi la polisi kwa madai yakutaka kumpiga mbunge wa CCM Juliana Shonza, na kusema hawajapeleka mabondia bungeni.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe
Freeman Mbowe amesema hayo leo mjini Dodoma baada ya kutoka mahakamani na kudai kuwa wao wanaamini kuwa mahakama itatenda haki kwa wabunge hao.
"Kama ambavyo mnajua kwa masaa zaidi ya 48 wabunge wa CHADEMA wameshinda polisi, jana siku nzima wameshinda polisi na leo wameshinda polisi mpaka mchana huu, kwa maana hiyo wawakilishi hawa wa wananchi wameshindwa kuwajibika kwa ajili ya wananchi kwa makosa ambayo kimsingi kabisa hayakutakiwa kupewa uzito huu yanaopewa, inasemakana kuwa wabunge hawa walimfanyia fujo Mbunge wa viti maalum (CCM) Juliana Shonza jambo hili linafedhehesha sana, sisi tuna wabunge ambao wanajiheshimu na kuheshimu sheria za nchi, hatukupeleka wapiganaji bungeni bali tumepeleka viongozi wa kutunga sheria" alisisitiza Freeman Mbowe
Mbali na hilo Mbowe anasema kitendo cha Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kulivalia njuga suala hilo ni jambo ambalo yeye limemsikitisha.
"Kitendo cha kuwapeleka polisi na kuwashtaki wabunge wetu na Spika wa Bunge kushadadia jambo hili limenisikitisha sana, Spika kusema ametoa ruhusa wahukumiwe kwa kesi za jinai ni mwendelezo wa kutaka kutunyamazisha, ila hatutayumba na tunaamini kuwa jopo la majaji litatenda haki katika jambo hili, maana hakuna mbunge yoyote wa CHADEMA wala UKAWA ambaye amemshambulia mbunge yoyote yule bungeni" alisisitiza Mbowe.
Katika watuhumiwa wote nane, mtuhumiwa mmoja ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ubungo, Mbunge Saed Kubenea leo alipandishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa moja la shambulio la kawaida hivyo amedhaminiwa na shauri hilo upelelezi wake bado haujakamilika hivyo kesi itatajwa tena tarehe 26, Julai 2017 Dodoma.
Ndungai alishasema yy yupo juu ya sheria anaweza kujisaidia haja kubwa bungeni na asifanywe kituMbona Yeye Ndugai alimchapa mtu na Bakora na hakufanywa chochote? Kweli nyani halioni kundule.
Juliana kwanza ndiyo alianza uchokozi walipoamua kumjibu ndipo akakimbilia polisi inaelekea alitumwa na hawala yake mzee Ndungai kwenda kuwachokoza maksudi akijua watamjibu kwa nguvu apate Sababu ya kukimbilia Polisi kuwakomoa.hivi ile picha iliyoonyesha badhi yao wakiwa wamemshika au kumsonga ni ya kupika?? au walikuwa wakifanya naye mapenzi au walikuwa wanamtongoza au kumtamani?? ambayo ndio kazi walio tumwa
Duhh!! Wagonjwa wanaongezeka pole sana ShonzaJuliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.
Don't be too emotional, buddy! Ni kweli alipigwa? Hebu keti, pata tu-maji kidogo. Sasa, digest hiyo picha. Weye huwa unaaitafsirije picha. Tupatie mbinu mkuu.hivi ile picha iliyoonyesha badhi yao wakiwa wamemshika au kumsonga ni ya kupika?? au walikuwa wakifanya naye mapenzi au walikuwa wanamtongoza au kumtamani?? ambayo ndio kazi walio tumwa
Na wewe ukiulizwa mchepuko maana yake nini utajibuje?Unaposema Juliana ni mchepuko wa spika ukiombwa uthibitishe utafanya hivyo, uhuru mliopewa wa kutoa maoni sio kinga ya kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, angalieni kuna sheria ya mtandao. ni ushauri tu
Juliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.
sipo emotional kwa suala hili dogo lisilo na madhara makubwa kwa nchi, bali napenda ukweli. na labda pia hao wenezetu huko bungeni wajikite zaidi kwenye vitu vya maendeleo na tija kwa nchi na kwa wao wenyewe. badala ya kuwa kama wenye matatizo fulani.Don't be too emotional, buddy! Ni kweli alipigwa? Hebu keti, pata tu-maji kidogo. Sasa, digest hiyo picha. Weye huwa unaaitafsirije picha. Tupatie mbinu mkuu.