Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,519
- 284,004
AminaTumezipokea kwa dhati salamu za ustaadh Aboubakar bin mbowe [emoji4] Erythrocyte
Mida hii ndio mnatuma salamu Baada ya kula pilau la Idd na na kushibaMwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametuma salamu za Idd kwa Waislam wote Nchini Tanzania , amewataka Waislam wote kusherehekea siku hii kwa amani na utulivu .
Mbowe ambaye pia anajulikana kama Ustaadh Aboubakar amewapongeza waislam wote kwa kumaliza salama mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Wewe Jamaa mpuuzi sana.Hakuna mwenye habari Naye watu wapo bize kufuatilia taarifa za Rais wao mh mama Samia suluhu Hassani ,ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika na waafrika na mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa,Ambaye ndiye kiongozi mwenye nguvu Sana kwa Sasa na ambaye Dunia nzima inamfuatilia kwa ukaribu Sana hotuba zake kutokana na kuwa na maono makubwa ya kiuongozi,yaliyoleta mapinduzi ya kifikra katika jamiii
Kwa akili hizi mitaala ipitiwe upya unakuwa chawa hadi ukijitazama kwenye kioo unaogopa?Hakuna mwenye habari Naye watu wapo bize kufuatilia taarifa za Rais wao mh mama Samia suluhu Hassani ,ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika na waafrika na mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa,Ambaye ndiye kiongozi mwenye nguvu Sana kwa Sasa na ambaye Dunia nzima inamfuatilia kwa ukaribu Sana hotuba zake kutokana na kuwa na maono makubwa ya kiuongozi,yaliyoleta mapinduzi ya kifikra katika jamiii
Najuwa ukweli unauma ,vumilia tuWewe Jamaa mpuuzi sana.
Na hasa anavyoishughulikia Taarifa ya CAG kwa kukamata mawaziri na Wakurugenzi .Hakuna mwenye habari Naye watu wapo bize kufuatilia taarifa za Rais wao mh mama Samia suluhu Hassani ,ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika na waafrika na mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa,Ambaye ndiye kiongozi mwenye nguvu Sana kwa Sasa na ambaye Dunia nzima inamfuatilia kwa ukaribu Sana hotuba zake kutokana na kuwa na maono makubwa ya kiuongozi,yaliyoleta mapinduzi ya kifikra katika jamiii
Imetumwa Mapema sana , sema huku Kyela Mvua inanyesha sana , kuna shida ya NetworkMida hii ndio mnatuma salamu Baada ya kula pilau la Idd na na kushiba
Kweli nyie wahuni
Hakuna mwenye habari na Mbowe kwa Sasa, watu wapo bize kufuatilia habari za mh Rais maana huyo ndiye mwenye majibu ya kero zao na siyo Mbowe ambaye katika miaka yote ya uenyekiti wake ameshindwa kuongeza hata ukubwa wa madirisha ya ofisi makao makuu licha ya kupokea mabillioni ya Ruzuku lakini yeye akaishia kukipelekea hesabu chama kuwa anakidai,Kwa akili hizi mitaala ipitiwe upya unakuwa chawa hadi ukijitazama kwenye kioo unaogopa?
Najuwa ukweli unauma ,vumilia tu
Huo uharo wako unahusiana nini na salamu za Eid za Mwamba kwa Watanzania.Najuwa ukweli unauma ,vumilia tu
Majina si utukufu , ni alama tu , ndio maana Mazinge , Mtopea na Mwalubadu ni waislamMnamuitaga abubakary? Eid ameswalia msikiti gani? Au huwa anachezea dini za watu kwa maslahi ya kisiasa tu erytthr..?
Mwamba gani ameshindwa hata kukarabati ofisi? Ofisi utafikiri pagala linalokaliwa na mifugo? Yeye anachojuwa ni kukidai tu chama chake kila uchaguzi ukiishaHuo uharo wako unahusiana nini na salamu za Eid za Mwamba kwa Watanzania.
Ni salamu za Eid el Fitri wewe povu linakutoka hadi puani WHY?Mwamba gani ameshindwa hata kukarabati ofisi? Ofisi utafikiri pagala linalokaliwa na mifugo? Yeye anachojuwa ni kukidai tu chama chake kila uchaguzi ukiisha