Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,957
- 288,151
Kushiriki Msiba hakujawahi kuwa mbwembwe , mbwembwe ni kuzungusha maiti huku na kule kwa kisingizio cha kuagaMbwembwe at work huyo ni mzoga kwa sasa
Nakazia hapoKushiriki Msiba hakujawahi kuwa mbwembwe , mbwembwe ni kuzungusha maiti huku na kule kwa kisingizio cha kuaga
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Poleni kwa kufiwa na mwenzenu nanyi mnafuata ni njia Moja kwa woteTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni
Huku akiwa chini ya Ulinzi wa Makomandoo , Mbowe amemuelezea Membe kama rafiki ambaye wameshirikiana katika mengi ndani na nje ya Bunge kwa zaidi ya miaka 15 , Mbowe amesema Membe alikuwa mtu mwema na mwenye uthubutu wa kupinga dhuluma na uonevu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Krismasi tutakula. Wote,,,,,mwakani tunaomba mualiko wa kwaresima ikuluTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni
Huku akiwa chini ya Ulinzi wa Makomandoo , Mbowe amemuelezea Membe kama rafiki ambaye wameshirikiana katika mengi ndani na nje ya Bunge kwa zaidi ya miaka 15 , Mbowe amesema Membe alikuwa mtu mwema na mwenye uthubutu wa kupinga dhuluma na uonevu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kulwa Jilala mkoloni mambo leo ujumbe huuKushiriki Msiba hakujawahi kuwa mbwembwe , mbwembwe ni kuzungusha maiti huku na kule kwa kisingizio cha kuaga
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Na wewe umeingia kwenye Siasa za kijingaKushiriki Msiba hakujawahi kuwa mbwembwe , mbwembwe ni kuzungusha maiti huku na kule kwa kisingizio cha kuaga
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Haya ndio madhara ya kukosa cha kupost.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni
Huku akiwa chini ya Ulinzi wa Makomandoo , Mbowe amemuelezea Membe kama rafiki ambaye wameshirikiana katika mengi ndani na nje ya Bunge kwa zaidi ya miaka 15 , Mbowe amesema Membe alikuwa mtu mwema na mwenye uthubutu wa kupinga dhuluma na uonevu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hili jibu ni level ya PhD kudadadekiKushiriki Msiba hakujawahi kuwa mbwembwe , mbwembwe ni kuzungusha maiti huku na kule kwa kisingizio cha kuaga
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Labda kama umeamua kunishambulia tu , lakini sioni ubaya wa andiko langu .Na wewe umeingia kwenye Siasa za kijinga
Elezea na Ndesamburo alikufaje
Limagufuli lishageuka kaboniMsiba usikie kwa mtu ukikufikia nfo utajua uchungu wake.
Kwenye msiba wa jpm mlijua kutuumiza humu, utaona comment, huo mzoga unafukiwa lini huko chato? Dictator limekufa, Mungu fundi aiiiiiiiiiiiiiii dunia tunapita.
Wema hawafi...........
unaposema shobo unakuwa unamaanisha nini ?Ila ww jamaa, hapana aisee nmekunyanyulia mikono juu mana sio kwa shobo hizo