Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,571
- 139,970
This is Mbowe.......akipiga anapiga haswaaaaaa"Mama Samia kuruhusu mikutano ya hadhara na kukubaliana na mchakato wa Katiba, huu ni wajibu wake amechelewa kuufanya hatuwezi kumpongeza kwa hilo.Sheria ya mitandao na vyombo vya habari bado changamoto kwa hiyo nchi haiendeshwi kwa hisani ya Rais kwa taasisi na mifumo imara
Hakuna chawa kama Mbowe dunianiAkizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia.
"Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri sina wasiwasi na hilo.
"Useme tumwachia Rais Samia….kwamba kuruhusu mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba lakini iliporwa kwa miaka saba yaani tumsifu kwa sababu hiyo?”
Mbowe alisema suala la kufutwa kwa kesi iliyokuwa ikimkabili haikuwa fadhila, bali ni wajibu.
"Mama Samia kuruhusu mikutano ya hadhara na kukubaliana na mchakato wa Katiba, huu ni wajibu wake amechelewa kuufanya hatuwezi kumpongeza kwa hilo.Sheria ya mitandao na vyombo vya habari bado changamoto kwa hiyo nchi haiendeshwi kwa hisani ya Rais kwa taasisi na mifumo imara
"Sasa viongozi kama kina Sanga ndio wapambe au tunawaita chawa, kama Rais Samia ni kiongozi imara tutamjaribu katika utumishi wake," alisema Mbowe.
Ipo ya mnyika niweka hapaMwenye ile video ikimuonyesha Sanga akikata viuno bungeni atuwekee hapa
Weee kwa akili uliyonayo baada ya kugundua babayo ni mlevi kupindukia, waweza sema mamayo ni kahaba hakuna kama yeye duniani. Una ufinyu wa akili!
Jikite kwenye mada
mashoga ya ccm jins muda wa uchaguz unavyosogea ndivyo yanaendelea kuwa mazezeta na bado muda ukifika mtaenda mkatambike chato na hamtapata kitu.
Mbona Mbowe naye ni chawa wa MamaAkizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia.
"Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri sina wasiwasi na hilo.
"Useme tumwachia Rais Samia….kwamba kuruhusu mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba lakini iliporwa kwa miaka saba yaani tumsifu kwa sababu hiyo?”
Mbowe alisema suala la kufutwa kwa kesi iliyokuwa ikimkabili haikuwa fadhila, bali ni wajibu.
"Mama Samia kuruhusu mikutano ya hadhara na kukubaliana na mchakato wa Katiba, huu ni wajibu wake amechelewa kuufanya hatuwezi kumpongeza kwa hilo.Sheria ya mitandao na vyombo vya habari bado changamoto kwa hiyo nchi haiendeshwi kwa hisani ya Rais kwa taasisi na mifumo imara
"Sasa viongozi kama kina Sanga ndio wapambe au tunawaita chawa, kama Rais Samia ni kiongozi imara tutamjaribu katika utumishi wake," alisema Mbowe.
Daaah eti chawa 🤣🤣🤣!!Akizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia.
"Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri sina wasiwasi na hilo.
"Useme tumwachia Rais Samia….kwamba kuruhusu mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba lakini iliporwa kwa miaka saba yaani tumsifu kwa sababu hiyo?”
Mbowe alisema suala la kufutwa kwa kesi iliyokuwa ikimkabili haikuwa fadhila, bali ni wajibu.
"Mama Samia kuruhusu mikutano ya hadhara na kukubaliana na mchakato wa Katiba, huu ni wajibu wake amechelewa kuufanya hatuwezi kumpongeza kwa hilo.Sheria ya mitandao na vyombo vya habari bado changamoto kwa hiyo nchi haiendeshwi kwa hisani ya Rais kwa taasisi na mifumo imara
"Sasa viongozi kama kina Sanga ndio wapambe au tunawaita chawa, kama Rais Samia ni kiongozi imara tutamjaribu katika utumishi wake," alisema Mbowe.
Chawa kvp wkt ndo baba yenu kwa sasa??? Hamuoni wanavyopatana na bi mkubwa ?? Kama Samia mnamwita mama kwnn hamtaki kumwita mbowe baba??? Nyie veeepe ??Mbowe yeye ndio chawa mkuu
Chawa mkubwa na mdogo wanashindanaAkizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia.
"Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri sina wasiwasi na hilo.
"Useme tumwachia Rais Samia….kwamba kuruhusu mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba lakini iliporwa kwa miaka saba yaani tumsifu kwa sababu hiyo?”
Mbowe alisema suala la kufutwa kwa kesi iliyokuwa ikimkabili haikuwa fadhila, bali ni wajibu.
"Mama Samia kuruhusu mikutano ya hadhara na kukubaliana na mchakato wa Katiba, huu ni wajibu wake amechelewa kuufanya hatuwezi kumpongeza kwa hilo.Sheria ya mitandao na vyombo vya habari bado changamoto kwa hiyo nchi haiendeshwi kwa hisani ya Rais kwa taasisi na mifumo imara
"Sasa viongozi kama kina Sanga ndio wapambe au tunawaita chawa, kama Rais Samia ni kiongozi imara tutamjaribu katika utumishi wake," alisema Mbowe.
Big chawa vs small chawaMbona Mbowe naye ni chawa wa Mama
Sema wanatofautiana na Sanga , kwamba Sanga ni CCM Mbowe ni Chadema ila wote ni chawa wa Mama
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Wengine hatumo, acha umbeaWote ni machawa wa Samia uzuri wananchi wote wanajua hlo, huyo mbunge alikuwa anamkumbusha
Mamako hajulikani kabisa kwa mbowe, unajikomba tu, si umwite baba?Mbona Mbowe naye ni chawa wa Mama
Sema wanatofautiana na Sanga , kwamba Sanga ni CCM Mbowe ni Chadema ila wote ni chawa wa Mama
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Ni kweli Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Samia lakini wewe kama wewe Mbowe ni CHAWA wa Samia. huna tofauti na akina Balile kwa kujikomba, tuachie Chadema yetu urudi CCMAkizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia.