Freeman Mbowe aiyumbisha dola

Vipi kuhusu Twiga kuwapandisha kwenye ndege na meno ya Tembo mlipata kibali?
 
Huu sasa ni umbea!!! Waliohamisha fedha nchi za nje na taarifa zake zikaandikwa kwenye vyombo vya habari na baadhi walipoulizwa walidai hivyo ni vijisenti tu walifanywa nini? Pili sidhani kama Mbowe ni mjinga kisasi hicho aingie kwenye mkenge wakati anjua anafuatilia kwa sababu chama chake kinapiga sana makelele kuhusu ufisadi. Hawezi kufanya hivi kwa maoni yangu. Hilo gazeti sijui kama wamezitafiti hizo habari vizuri.
 
Nilikuwa ndani ya bus nanilijaribu Ku edit netwerk ikapotea
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kama Freeman Mbowe ni mpuuzi na zezeta (kwa mjibu wa maelezo yako) na bado ni mfanyabiashara anaemiliki mamilioni ya noti kiuhalali basi nchi yet u ina utajiri mkubwa saana wa rasilimali watu zaidi ya hata gesi na madini.....
Sipati picha wewe hapo usiye zezeta una utajiri kiasi gani:what::what:
 
Last edited by a moderator:
Ndg mwandishi kazi yako ya umbea umefanya muombe A. Kopa akuongezee ujuzi.
 
Huu mgazeti unaoitwa Jamvi la Habari Bila kuandia ya Mbowe basi halina mada nyingine ya kuandika. Naona ni Mboweeee tuuu na kuhamisha fedha. Mnapata faida kweli ya kuuza huu mgazeti? Rubbish
 
Huu mgazeti unaoitwa Jamvi la Habari Bila kuandia ya Mbowe basi halina mada nyingine ya kuandika. Naona ni Mboweeee tuuu na kuhamisha fedha. Mnapata faida kweli ya kuuza huu mgazeti? Rubbish

kwa hiyo mbowe marufuku kutajwa?
 

Uandishi wa habari kwa design hii,unadhalilisha taaluma ya habari.Mwandishi toka mwanzo hadi mwisho,anaonekana kumsakama mtu bila kuwa na ushahidi wa kutosha.Ni vyema kutumia taaluma zetu kwa ujenzi endelevu wa Taifa badala ya kuwa sehemu ya kupika majungu.
 
Hebu tujikumbushe tena juu ya matrion ya Uswis; mleta maada atusaidie kujua ni akina nani. Hii ndo habar iliyogonga vichwa vya watz miaka kama miwili iliyopita lakini ikapotezwa kiaina. mbowe kaweka hela zake na siyo za umma; za umma tuwauluze "vijshiling" "hela ya mboga tu" "escrow sio za umma" IPTL, TPA, TRA, MADINI & GAS hizo ndo za umma; zake mbowe hazituhusu jamani.
 

Unataka ushahidi gani wa ziada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…