Freeman au Zitto,nasubiri hotuba ya "I Have a Dream"

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,442
4,388
Nchi yetu inapita katika majaribu makubwa ya kidemokrasia, lakini kama taifa lazima tusimame kudai haki na viongozi wetu wakuu wa harakati za kudai haki za kisiasa nchini, Mh.Freeman Mbowe na Mh.Zitto Kabwe, nahitaji mmoja wenu asimame kwa ujasiri mithili ya ule wa Dr.Martin Luther King na kutoa hotuba itakayotupa nguvu ya kupambana kudai haki za kisiasa na kutetea ustawi wa demokrasia nchini...

Nasubiri hotuba ya "I have a dream....let freedom ring"............

I have a dream today!

I have a dream that one day every valley shall be exalted, and every hill and mountain shall be made low, the rough places will be made plain, and the crooked places will be made straight; "and the glory of the Lord shall be revealed and all flesh shall see it together."2

This is our hope, and this is the faith that (must endure)...

With this faith, we will be able to hew out of the mountain of despair a stone of hope. With this faith, we will be able to transform the jangling discords of our nation into a beautiful symphony of brotherhood. With this faith, we will be able to work together, to pray together, to struggle together, to go to jail together, to stand up for freedom together, knowing that we will be free one day.

And if (Tanzania) is to be a great nation, this must become true......

And when this happens, and when we allow freedom ring, when we let it ring from every village and every hamlet, from every (township) and every city, we will be able to speed up that day when all of God's children, black men and white men, (Christians) and (Muslims), Protestants and Catholics, will be able to join hands and sing in the words of the old (ancestors) spiritual:

Free at last! Free at last!
Thank God Almighty, we are free at last!

I have a dream speech.jpeg
 
Ngoja timsubiri Shekhe Lipumba kwanza, kama alikuwa na ujasiri wa kutaka kurudia nafasi yake ya uenyekiti basi kwa hili sina shaka ana limudu.
 
Shida ya polisi inatumia za moto kwa watu wanaotumia maneno.

Zitto na Mbowe pekee hawataweza bila ya ujasiri wa wapenda haki wenyewe......tumeona vijana wakiimarisha demokrasia b Faso, tunisia, kenya, libya na hata misri........ujasiri huu haupo miongoni mwa vijana wazalendo wa kitanzania nikiwemo Mimi.
 
Dunia ya Leo yenye social media like Facebook, WhatsApp, Jamii forum, magazeti kibao, redio kibao siyo lzm uandamane au kufanya mkutano ndio ufikishe ujumbe kwa jamii.

Unaweza kuongea kwenye redio tu kila MTU akasikia ujumbe wako.

UKAWA kuweni wabunifu
 
Nina ndoto pia.Nina ndoto kuwa siku moja wanasiasa watakuwa wanatumia hoja kujadili jinsi ya kuendesha nchi kwa uwazi bila ya kuingiliwa na naibu spika, polisi wala Rais.

Nina ndoto kuwa kila mwananchi atapewa nafasi yake kwa mujibu wa katiba kushiriki katika shughuli mbali mbali za kisiasa.
 
Dunia ya Leo yenye social media like Facebook, WhatsApp, Jamii forum, magazeti kibao, redio kibao siyo lzm uandamane au kufanya mkutano ndio ufikishe ujumbe kwa jamii.

Unaweza kuongea kwenye redio tu kila MTU akasikia ujumbe wako.

UKAWA kuweni wabunifu
Hata katika mitandao hakuna uhuru.Ukiongea jambo nyeti unafunguliwa mashtaka fasta.
 
Back
Top Bottom