okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,450 Reaction score 3,832 Oct 1, 2018 #41 Na hili hawataki kulisikia kabisa hawa malaika. Ugiligili said: Chadema hamkutumia vizuri upepo wa 2015..sasa inakula kwenu.poleni Click to expand...
Na hili hawataki kulisikia kabisa hawa malaika. Ugiligili said: Chadema hamkutumia vizuri upepo wa 2015..sasa inakula kwenu.poleni Click to expand...
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,804 Reaction score 16,475 Oct 1, 2018 #42 Salary Slip said: Ndio maana nimekwambia CHADEMA ni watu na watu ni CHADEMA na wala sijasema Mbowe ni CHADEMA au CHADEMA ni mbowe. Click to expand... Teh teh teh tihiii unatudanganya bana, kama mbowe siyo chadema itisheni uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema muone nini kitatokea. sijui hiyo demokrasia wanayojiita (chadema) iko wapi!!!?
Salary Slip said: Ndio maana nimekwambia CHADEMA ni watu na watu ni CHADEMA na wala sijasema Mbowe ni CHADEMA au CHADEMA ni mbowe. Click to expand... Teh teh teh tihiii unatudanganya bana, kama mbowe siyo chadema itisheni uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema muone nini kitatokea. sijui hiyo demokrasia wanayojiita (chadema) iko wapi!!!?