Freema Mbowe, uliwafanya nini CCM?

Sisi CCM tunaamini kwamba tukimuweza kumbana Mbowe, tumeshamaliza kazi
Sisi CCM tunaamini kwamba tukimuweza kumbana Mbowe, tumeshamaliza kazi
Alafu CCM hamna hata haibu, mnasaidiwa na usalama wa taifa,jeshi la polisi na NEC lakini bado mnawashwa na CHADEMA ambayo inasonga kwa nguvu za Mungu,acheni hizo basi hii nchi ni yetu sote!
 
ukiona Mashabiki wanatetea Timu Yao haitoshuka daraja badala ya kutetea itachukua Kombe jua hali mbaya sana
Hiyo timu unashindananayo wakati umeifunga miguu alafu unajisifu kushinda.Wewe ni kicha kwa tafsiri rahisi.
 
ukiona Mashabiki wanatetea Timu Yao haitoshuka daraja badala ya kutetea itachukua Kombe jua hali mbaya sana
Nenda kwanza kanyonyeshe mtoto chupa lazima uendekeze ujinga wenu make mumenufaika hadi kupata wztoto chupa ambaye bila helaya umma
 
Tatizo amekua Ayatollah Mbowe Chadema,Mwenyekiti wa Kudumu Chadema, CCM inachokifanya ni kama USA kuondoa viongozi waliokaa madarakani Muda mrefu kwa kuminya Demokrasia
Mumemuziia chama mwenyekiti wenu magufuli hamfurukuti yaani anawzendesha kama gari bovu mumeufyata ha ha
 
Amewatia mimba.
 
Itakuchukua muda kuamini ila ndio ashapotezwa. Uamshangilia mwanaume mwenzio kakupa nn?
 
Alafu CCM hamna hata haibu, mnasaidiwa na usalama wa taifa,jeshi la polisi na NEC lakini bado mnawashwa na CHADEMA ambayo inasonga kwa nguvu za Mungu,acheni hizo basi hii nchi ni yetu sote!
Hao ulio wataja kampeni zao wanafanyia wapi,kwa sababu majukwaani hawaonekani
 
Ujinga ni kuaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna Chadema .....sawa kusema bila Magufuli Tanzania haiwezi kuendelea...

Tujikite kuamini Taasisi sio watu..
Mi sio mfuasi wa CHADEMA ila nadhani Mh.Mbowe ni jasiri katika kuwa mwenyekiti kuliko MTU yoyote aliyewahi kupata umaarufu kupitia CHADEMA..hapo wote wanaohama ni kwa sababu zao wanazozificha kutaka kinga ya siasa katika chama kingine
..Mtu anaona hatorudi bungeni au katika uwakilishi wa udiwani halmashauri pengine kwa sababu yeye binafsi kushindwa kupigania maendeleo au amebaini kuna mwanachama mwenye nguvu atagombea wakati ujao. Pengine uoga na ulafi baada ya kugundua chama kingine kitampa kitu huchochea pia..
 
ukiona Mashabiki wanatetea Timu Yao haitoshuka daraja badala ya kutetea itachukua Kombe jua hali mbaya sana
Mbowe kawashika mzutii yani mnakatika kwa kufuata mdundo wa cdm,awamu hii ccm imejaza vijana,wazee wajinga,vilaza,njaa kali kuliko awamu zote na bado mtakufa njaa sana
 
Ni tatizo kubwa sana kuongoza wananchi ambao hawana amani wala imani na kiongozi wao. Propaganda za kisiasa hazisaidii ktk hali kama hii. Huwezi kulazimisha hivi vitu.
Mwishowe utakuta wananchi wanaomba siku ziende ili atoke hapo kwenye uongozi. Matatizo yanachosha watu, hakuna atakaeweza kuvumilia matatizo.
Kila kukikucha inakuwa bora ya jana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€
 
Ngoja uone uchaguzi mdogo wa Oktoba 13 kama matapata hata asilimia 20 ya waliojiandikisha.

Kama kweli wanampenda Jiwe, basi tutaona misururu mirefu kwenye polling stations ikiwa ni ishara ya kuunga mkono juhudi.
Misururu haitaonekana lakini ...atatangazwa amepata kura 98,123
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…